Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
-
- #21
Swali zuri , Rais wa nchi ni kama mfalme maamuzi yake yanatakiwa yaheshimiwe hata kuyahoji yahojiwe kwa busara na heshima sio kumbwatukia hovyo hovyo kama anafanya mambo tofauti aambiwe kwa hoja sio matusiKuna tatizo gani kudharau mamlaka au kuleta ujuaji mbele ya Rais wa nchi??
Misingi mikuu ya demokrasia niAsante sana kwa kuliona hili. Kisehemu nilichoweka kwenye nyekundu umekiandika wewe na ndiyo maana halisi ya demokrasia. Yaani wananchi wakubaliane na mfumo. Kwa kifupi demokrasia siyo lazima iwe ya vyama vingi au kuwe uchaguzi kwa kutumia njia za maboksi ya kura. Na ndipo hili bandiko lilipokosea. i.e. kusema kuna nchi zinahitaji kuendeshwa kwa udikteta. Ukishesema tu udikteta ina maana matakwa ya wananchi yamepuuzwa. Kwa kifupi zipo namna nyingi za demokrasia na wananchi ndiyo waamuzi.
Rais wa nchi sio kama mfalme (katika nchi za kidemokrasia na hata zisizo za kidemokrasia),Swali zuri , Rais wa nchi ni kama mfalme maamuzi yake yanatakiwa yaheshimiwe hata kuyahoji yahojiwe kwa busara na heshima sio kumbwatukia hovyo hovyo kama anafanya mambo tofauti aambiwe kwa hoja sio matusi
PiganeniElewa hoja usiandike tu kiushabiki ili tu uonekane mwerevu sana , point yangu ni kwamba alikuwa nchi ameiweza kuitawala kama kiongozi hakuna aliyekuwa anadharau mamlaka au kuleta ujuaji mbele yake
Jiandae kuwa refaPiganeni
Unaongelea Pakistan ya juzi hapa Jeshi kuchukua Nchi ila kabla ya hapo ilikua ni nchi ya Kati, ambayo kwa Nchi zetu hizi ilikua ikisifiwa, so is India.Waarabu Waislamu hawako compatible na demokrasia, kwa kiasi kikubwa ni vigumu demokrasia kufanya kazi katika nchi za Waislamu watupu kwa sababu kuna mambo mengi demokrasia inapingana na Uislamu. Hata mfumo wa utawala kama wa China ni vigumu kufanya kazi kwenye nchi za Waislamu wengi kwa sababu uko ki secular zaidi.
Pakistan sio nchi ya kidemokrasia, ni kama Tanzania tu. Jeshi ndilo linaamua uongozi uweje.
Ni ukweli yapo mazingira yanayofanya demokrasia kuwa ngumu kufanya kazi ikiwemo nchi kuwa na raia wengi wafia dini na population kubwa kupitiliza kama ilivyo India.
Zaidi binadamu wengi (has wasio wahafidhina wafia dini) wanapenda maendeleo yaliyo pamoja uhuru mkubwa kwa raia binafsi (individual liberties), inapotekea wanapata kimojawapo ni afadhali lakini sio ideal.
Nakubaliana nawewe chamsingi mfumo ukubalike na raia na matokeo yaonekane hakuna shida,Nipe mfano wa Nchi ya Middle East yenye Demokrasia na Maendeleo,
Mfano Mzuri Angalia hapo North Africa, Tunisia wanakua regarded kama Nchi yenye Demokrasia zaidi Middle East na North Africa, ila maendeo Yao still hayafikii the likes of Algeria na Morocco, watu wale wale, geography Ile Ile, resource zile zile.
Same kwa Asia kuna kanda kibao the so called democratic countries ni upuuzi mtupu, Pakistan huwezi ifananisha na Iran, India Huwezi fananisha na China etc.
Cha muhimu Nchi iwe na mfumo unaokubalika na wananchi na Serikali iwatumikie wananchi, hakuna mfumo mmoja unaoweza leta maendeleo Dunia nzima.
Anti-democrats huwa mna uelewa finyu, hoja dhaifu sana na historia potoshi kuhusu demokrasia. Pakistan haijawahi kuwa nchi ya kidemokrasia au yenye utulivu wa kisiasa tangu kuuundwa kwake, muda wote imekuwa ikikabiliwa na mapinduzi ya kisiasa na utawala jeshi kuingilia siasa.Unaongelea Pakistan ya juzi hapa Jeshi kuchukua Nchi ila kabla ya hapo ilikua ni nchi ya Kati, ambayo kwa Nchi zetu hizi ilikua ikisifiwa, so is India.
Na Tunisia inasifika kwa Nchi za Kiarabu kuwa liberal country so excuse ya dini haiaplly huko, Ila still ina struggle. Ukiangalia matatizo Yao sasa hivi ni exactly matatizo wanayopata Nchi za Ki Africa zinazojinasibisha na Democracy kama Kenya na South Africa, security imekuwa ndogo, ukosefu wa Ajira unaongezeka, umasikini unaongezeka, matajiri wanaongezeka etc coincidence? Algeria sasa hivi percentage ya wananchi wenye kipato chini ya Dola 15 ni 1, Tunisia percentage ya wananchi wenye kipato chini ya Dola 5 ni zaidi ya 15.
Sometimes Sisi binadamu tunapenda vitu na kuwa huru, Ila inabidi vitu vingine tufanye hata kwa kulazimishwa ili kupata maendeleo, Nchi nyingi zinazopigia chapuo democracy na ubepari Pato Lao linatokana na kunyonya Nchi nyengine na sio mifumo ya Nchi zao ndani ni Bora.
Hoja imekaa kisomiAnti-democrats huwa mna uelewa finyu, hoja dhaifu sana na historia potoshi kuhusu demokrasia. Pakistan haijawahi kuwa nchi ya kidemokrasia au yenye utulivu wa kisiasa tangu kuuundwa kwake, muda wote imekuwa ikikabiliwa na mapinduzi ya kisiasa na utawala jeshi kuingilia siasa.
Demokrasia ya Kenya haizidi hata miaka 20 tena katika Taifa ambalo liliachwa na athari kubwa za ukabila, Africa Kusini utawala wa demokrasia wa watu weusi ni miongo mitatu baada ya utawala wa Apartheid wa ubaguzi wa Kizungu wa zaidi ya nusu Karne tena wakiwapa uhuru weusi huku bado wazungu wanahodhi sehemu kubwa ya uchumi ulitegemea nini kifuate.
Madhara ya kuiminya demokrasia kwenye nchi yeyote Dunia ni pale atokee kiongozi asiyefaa , faida ya kuiminya demokrasia ni pale kiongozi wa juu akiwa full packageKwa historia ya nchi yetu, hulka za viongozi wetu na wananchi.
Mfumo wa kuongozwa na kila kitu kuwa chini ya Mtu mmoja au Kikundi cha watu wachache haufai, mara mia Demokrasia.
Kila dikteta ana mazuri yake na mabaya...uwiano ukoje?Nilikutana na makala moja mtandaoni iliyokuwa inazungumzia utawala wa Sadam hussein , makala hiyo imenikumbusha mambo mengi ya Sadam hussein aliyekuwa kiongozi wa Iraq
Jamaa kitu kikubwa kilichomfanya awe adui wa Marekani ni kwasababu alikosa utii na unyenyekevu kwa Marekani , marekani wakamfanya adui yao wakamfanyia figisu na mizengwe ya kila aina mpk wakafanikiwa kuuangusha utawala wake ila jamaa alikuwa mwamba kweli kweli mpk alivyofikishwa mahakamani alibaki na msimamo wake ule ule
Iraq iliyokuja baada ya utawala wa Sadam hussein haitawaliki tena nchi imeoza haifai ndio kama kilicho tokea Libya kwa Gadafi
Kuna nchi zinahitaji viongozi ma dikteta wenye faida ili ziende
Sadam Hussein niliona kwenye makala alikuwa akiingia kwenye ukumbi wa mikutano hakuna mtu aliyekuwa anathubutu kukohoa au hata kupiga chafya , alikuwa akiku point utoke nje ya ukumbi ujue umekwisha
Unaongea miaka 20 as if ni siku 5 Tu, Nchi yoyote serious miaka 20 tayari unaona muelekeo.Anti-democrats huwa mna uelewa finyu, hoja dhaifu sana na historia potoshi kuhusu demokrasia. Pakistan haijawahi kuwa nchi ya kidemokrasia au yenye utulivu wa kisiasa tangu kuuundwa kwake, muda wote imekuwa ikikabiliwa na mapinduzi ya kisiasa na utawala jeshi kuingilia siasa.
Demokrasia ya Kenya haizidi hata miaka 20 tena katika Taifa ambalo liliachwa na athari kubwa za ukabila, Africa Kusini utawala wa demokrasia wa watu weusi ni miongo mitatu baada ya utawala wa Apartheid wa ubaguzi wa Kizungu wa zaidi ya nusu Karne tena wakiwapa uhuru weusi huku bado wazungu wanahodhi sehemu kubwa ya uchumi ulitegemea nini kifuate.
Nikipima kwenye mzani naona alikuwa na nia njema na Taifa lake ila Agenda zake hazikukubalika kimataifaKila dikteta ana mazuri yake na mabaya...uwiano ukoje?
Aliwai kumuadabisha mtoto ake mmoja kati ya UDAY AMA QUSAY..Nilikutana na makala moja mtandaoni iliyokuwa inazungumzia utawala wa Sadam hussein , makala hiyo imenikumbusha mambo mengi ya Sadam hussein aliyekuwa kiongozi wa Iraq
Jamaa kitu kikubwa kilichomfanya awe adui wa Marekani ni kwasababu alikosa utii na unyenyekevu kwa Marekani , marekani wakamfanya adui yao wakamfanyia figisu na mizengwe ya kila aina mpk wakafanikiwa kuuangusha utawala wake ila jamaa alikuwa mwamba kweli kweli mpk alivyofikishwa mahakamani alibaki na msimamo wake ule ule
Iraq iliyokuja baada ya utawala wa Sadam hussein haitawaliki tena nchi imeoza haifai ndio kama kilicho tokea Libya kwa Gadafi
Kuna nchi zinahitaji viongozi ma dikteta wenye faida ili ziende
Sadam Hussein niliona kwenye makala alikuwa akiingia kwenye ukumbi wa mikutano hakuna mtu aliyekuwa anathubutu kukohoa au hata kupiga chafya , alikuwa akiku point utoke nje ya ukumbi ujue umekwisha
Huelewei unachosema, hata hizo nchi za middle east hazina population kubwa huku zikiwa na ukwasi wa mafuta na gesi, watawala wa Gulf states (GCC) wanachota pesa wanavyotaka wanaweka kwenye akaunti zao binafsi na bado zinabaki pesa nyingi sana za kufanya maendeleo na kuwafanya raia wasilipe kodi. Kenya haina utajiri wowote mkubwa wa rasilimali, kiongozi akiiba hata kidogo tu lazima pengo lionekane.Unaongea miaka 20 as if ni siku 5 Tu, Nchi yoyote serious miaka 20 tayari unaona muelekeo.
Nitajie wewe Africa hii ama Nchi zetu hizi ambayo inafuata Demokrasia huku haina umasikini wa kutupwa, iwe na population ya kutosha.
'Mama awalisha watoto sumu na yeye kajinyonga,' Inawezekana lengo la huyo mama ni zuri kabisa, hataki watoto wake wabak kwenye dunia yenye mateso...ila bado ni sahihi? Kuwa dikteta ni kujaribu ku dictate maisha ya watu kama huyo mama alivyowachagulia kifo watoto wake kwa lengo ambalo anaona ni zuriNikipima kwenye mzani naona alikuwa na nia njema na Taifa lake ila Agenda zake hazikukubalika kimataifa
Africa nchi za demokrasia halisi ni chache sana. Ni Botswana, South Africa, Namibia, Mauritius, Ghana, Kenya, Cape Verde na Senegal.Unaongea miaka 20 as if ni siku 5 Tu, Nchi yoyote serious miaka 20 tayari unaona muelekeo.
Nitajie wewe Africa hii ama Nchi zetu hizi ambayo inafuata Demokrasia huku haina umasikini wa kutupwa, iwe na population ya kutosha.
Hii haipaswi kuwa hivi, hata kama utaleta maendeleo mara milioni lakini haipaswi kuminya wengine na kunyima fursa za watu kuwa huru kutoa maoni au kukukosoa unapokosea, kumbuka hakuna binadamu aliye mkamilifu, hakuna aliye na hati miliki ya nchiSadam Hussein niliona kwenye makala alikuwa akiingia kwenye ukumbi wa mikutano hakuna mtu aliyekuwa anathubutu kukohoa au hata kupiga chafya , alikuwa akiku point utoke nje ya ukumbi ujue umekwisha