Saddam Hussein alikuwa ni Dikteta mwenye faida kwa nchi yake

Botswana na Namibia, zina uchumi sawa na Morocco na Algeria katika GDP per Capita.
Najua, Ila zina umasikini wa kutisha hio per capita imebebwa na matajiri wachache Hali ya kuwa population kubwa ipo kwenye umasikini wa kutisha, masikini kuliko hata Tanzania ambayo haina Utajiri wa Botswana. Tuliwahi ongea kwa urefu humu kuhusu Botswana labda Tu kama unataka nirudie.

Namibia Wana Mamilionea wengi mno at same time Wana Umasikini wa kutisha, zaidi ya Asilimia 40 ni masikini ambao hawana uwezo wa Ku afford kula na kulala, Asilimia 80 ya wakaazi wa Windhoek (Equivalent ya Dar) wanakaa kwenye vibanda kama vya jangwani pale, ukimleta masikini wa Namibia mwanyamala kisiwani, Tandale, Msimbazi bondeni, Vingunguti etc ataona bonge la sehemu la kuishi

Windhoek hio halafu Nchi ina Asili ya jangwa imagine wanaishi vipi, jiji kuu Asilimia 80 wanaishi hivyo vibanda.
 
Sisi tunaangukia Hilo Kundi la Demokrasia na Magufuli pia alifunga wengi Tu kwa madawa ambao walikua wakitake advantage ya Sheria za Nchi.
 
Sisi tunaangukia Hilo Kundi la Demokrasia na Magufuli pia alifunga wengi Tu kwa madawa ambao walikua wakitake advantage ya Sheria za Nchi.
Tanzania haiko katika kundi la demokrasia, Magufuli alikuwa anagusa vidagaa tu vya madawa na wapinzani wake kisiasa, mapapa wa dawa za kulevya wanajulikana na hawakuwahi kuguswa enzi za jiwe.
 
Hizi hapa slums Rabat
 
Tanzania haiko katika kundi la demokrasia, Magufuli alikuwa anagusa vidagaa tu vya madawa na wapinzani wake kisiasa, mapapa wa dawa za kulevya wanajulikana na hawakuwahi kuguswa enzi za jiwe.
Hata mapapa Yanga Omari wa Hapa Tanga alikua analeta Mzigo wake mwenyewe, Yule mwenye Mabasi ya Sumri, Chonji na wengine wengi Tu. Kama MTU mwenye ukwasi kwa mabilioni huyo ni papa na anauwezo wa kuhonga yoyote ni Serikali Tu iliamua kuwakamata.
 
Saddam ulihusishwa na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, ikiwa ni pamoja na kukandamiza wapinzani wa kisiasa, kuwafunga au kuwaua wakosoaji, na mashambulizi dhidi ya baadhi ya makundi ya wananchi. Kwa hiyo, si sahihi kuutazama utawala wake kwa upande mmoja tu
 
Sijakataa ila 80% ya Rabat hawaishi hivyo figure za Morocco zipo, extreme poverty chini ya Asilimia moja na multidimensional kama Asilimia 6 Vs 44 ya Namibia,

So Morocco Una kila watu 100 watu 6 hawawezi kidhi mahitaji ya kila siku na Namibia kila watu 100 basi 44 hawawezi kidhi mahitaji Yao, huwezi sema hizo Nchi zipo Sawa,
 
ttzo la Iraq , Syria na Libya ni hao hao mnaowasifu maana waliona vita ni nzur kuliko kupisha madarakan ili wananchi wasiteseke

Ona sasa upumbav wao unawacost wairaq , wasyria na walibya mpk leo
 
Takwimu zako ni za uongo ndio maana sikujihangaisha kujibu hayo mambo mengine. Hata failed states kama Sudan, Haiti au Somalia 80% ya raia wake katika miji mikuu hawaishi katika slums.
 
Takwimu zako ni za uongo ndio maana sikujihangaisha kujibu hayo mambo mengine. Hata failed states kama Sudan, Haiti au Somalia 80% ya raia wake katika miji mikuu hawaishi katika slums.
Kwamba bila kuangalia umejua takwimu ni za Uongo, kama kawaida yenu Watanzania na "trust me bro" sources, mna allergy na data halafu mnataka Tu matamanio yenu yawe source.

Hizi source kuhakikisha ninachosema


Kuanzia world habitat mpaka website za Namibia kinaprove hio figure, na wewe unaweza ukaleta yako inayosema otherwise?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…