busha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,712
- 2,577
Nimekuwa na muda wa kutosha kuwafuatilia kwa kina wachezaji waliosajiliwa na mabingwa wa nchi Simba sports club. Miongoni mwahao wachezaji ni Sadio Kanuti, Peter Banda na Enoc Inonga.
Yote tisa, kumi ni huyu Pape Ousman Sakho, huyu kakosa connection tu, kwa kiwango chake anamudu kucheza ligi kubwa ulaya na akafanya vizuri.
Sakho unaweza hisi ana software maalum ya kucheza soka hongera kwa viongozi wa Simba wanaofanya scouting nzuri ya wachezaji wenye umri mdogo, kiwango bora na nidhamu ya soka.
Kwa wachezaji hawa Simba itafika mbali zaidi kwenye michuano ya kimataifa, hata kama sio msimu huu basi misimu inayokuja tutarajie makubwa Simba kufanya vizuri kimataifa.