Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi namsikitikia sana Farid Mussa ni mchezaji mzuri sana mzawa,Fei toto kuwa Yanga sio timu sahihi kwake,avunje mkataba wake na Yanga ili acheze Simba aonekane kimataifa kwasababu timu ya Simba isha ji- brand kimataifa zaidi kuliko Yanga.Binafsi namsikitikia sana Djuma Shaabani.
Amekuja kuua kiwango chake pale Yanga.
Yanga ni timu iliyojaa manung'uniko ya kila aina na kutupiana lawama.
Wachezaji hawana furaha, Kocha hana furaha na karibu anaondoka kwa shinikizo la ushindi wa lazima kwakuwa tu Simba inashinda.
Simba ingekuwa mbovu hakungekuwa na malalamiko.
Kuna kocha aliamua kuwakebehi kabisa washabiki ya Yanga alipobwaga Manyanga, simtaji anafahamika.
Uko sahihi kabisa,lakini kwenye hizi mechi za kujipima nguvu za Simba ni mechi za kimkakati zaidi,kuna kitu flani unakiona kwa Sackho anacho,ila kama ulivyosema ngoja kiwake tutajua zaidi kama yaliyomo yamo.Peter Banda is overrated,He needs more time to prove.
Pepe ousmane wa kawaida Sana,hata mechi zenyewe alizocheza ni kwa ajili ya physical sio Tecnical, kuthibitisha hili tusubiri game yeyote ya kimashindano wala sio hizi friends match.
Simba imeshinda nini wakati haijacheza mechi ya kimashindano? Coastal tu mmeambulia draw, huu msimu mna kazi kubwa ya kufanya.Binafsi namsikitikia sana Djuma Shaabani.
Amekuja kuua kiwango chake pale Yanga.
Yanga ni timu iliyojaa manung'uniko ya kila aina na kutupiana lawama.
Wachezaji hawana furaha, Kocha hana furaha na karibu anaondoka kwa shinikizo la ushindi wa lazima kwakuwa tu Simba inashinda.
Simba ingekuwa mbovu hakungekuwa na malalamiko.
Kuna kocha aliamua kuwakebehi kabisa washabiki ya Yanga alipobwaga Manyanga, simtaji anafahamika.
Acha kujipa moyo uonekane na wewe ulisajili wachezaji wabovu kwasababu syytem ya usajili ni ubahatishajiUmewafuatilia kupitia njia ipi?
Tuwekee ushahidi tujionee sisi pia
BTW usajili ni kubahatisha tu, soka letu halitabiliki unaweza mshusha hata Sadio mane Simba na akaflop,,, yote kwa yote kongole kwa mnyama usajili huu ikawe chachu ya ubingwa wa ligi kuu na CAF.
Ile ya kuwaita nyani?Binafsi namsikitikia sana Djuma Shaabani.
Amekuja kuua kiwango chake pale Yanga.
Yanga ni timu iliyojaa manung'uniko ya kila aina na kutupiana lawama.
Wachezaji hawana furaha, Kocha hana furaha na karibu anaondoka kwa shinikizo la ushindi wa lazima kwakuwa tu Simba inashinda.
Simba ingekuwa mbovu hakungekuwa na malalamiko.
Kuna kocha aliamua kuwakebehi kabisa washabiki ya Yanga alipobwaga Manyanga, simtaji anafahamika.
Ndio mkuukwa hiyo umeelezwa mtaani?
Nao Yanga wenyewe wanachangia.Ile ya kuwaita nyani?
Kama ni hiyo hakuwa kebehi aliongea ukweli
Mbona kisinda kaonekana kaenda morocco?mimi namsikitikia sana Farid Mussa ni mchezaji mzuri sana mzawa,Fei toto kuwa Yanga sio timu sahihi kwake,avunje mkataba wake na Yanga ili acheze Simba aonekane kimataifa kwasababu timu ya Simba isha ji- brand kimataifa zaidi kuliko Yanga.
Au aende timu nyingine kubwa africa pale Yanga anapoteza muda tu.
Yanga imetoa wachezaji wengi zaidi wanaocheza kimataifa zaidi ya Simba. Simba ilikuwa na vipaji viwili navyo vimeondoka wamebakia kusema wanaandaa timu ya vijana ambayo nayo haina uwezo wa kufika popote.mimi namsikitikia sana Farid Mussa ni mchezaji mzuri sana mzawa,Fei toto kuwa Yanga sio timu sahihi kwake,avunje mkataba wake na Yanga ili acheze Simba aonekane kimataifa kwasababu timu ya Simba isha ji- brand kimataifa zaidi kuliko Yanga.
Au aende timu nyingine kubwa africa pale Yanga anapoteza muda tu.
Huyo usipoteza naye muda ni wale wajinga wa Rage. Simba imeuza wachezaji wawili, Yanga imeuza mmoja na ikakataa kumwuza mwingine, hivyo hakuna tofauti ya kubwa ya wachezaji waliouzwa.Mbona kisinda kaonekana kaenda morocco?
Vipi kuhusu dili la mukoko lililokatsliwa?
Juma shabani gari ya mkaa ile trip Moja shamba trip ya pili gereji,hayati hans pope alitaka kumleta simba akafuatilia ishu yake akaghairi,ana enka inamsumbua sana hata national team hachezi,yanga tumepigwa tenaBinafsi namsikitikia sana Djuma Shaabani.
Amekuja kuua kiwango chake pale Yanga.
Yanga ni timu iliyojaa manung'uniko ya kila aina na kutupiana lawama.
Wachezaji hawana furaha, Kocha hana furaha na karibu anaondoka kwa shinikizo la ushindi wa lazima kwakuwa tu Simba inashinda.
Simba ingekuwa mbovu hakungekuwa na malalamiko.
Kuna kocha aliamua kuwakebehi kabisa washabiki ya Yanga alipobwaga Manyanga, simtaji anafahamika.
Kisinda na mukoko yanga mliazimwa tu kwa muda na ibengwe sio mali yenuMbona kisinda kaonekana kaenda morocco?
Vipi kuhusu dili la mukoko lililokatsliwa?
Walioondoka Simba ni moto wa kifuu, waliokuja wapya ni moto wa gesi.Yanga imetoa wachezaji wengi zaidi wanaocheza kimataifa zaidi ya Simba. Simba ilikuwa na vipaji viwili navyo vimeondoka wamebakia kusema wanaandaa timu ya vijana ambayo nayo haina uwezo wa kufika popote.
youtube huwa inaonesha wachezaji wote mafundi hakuna wabovu.Ndio hao nimewafatilia sana bioghraphy zao google,lakini ukitaka kuona ni jinsi gani wanavyo perform uwanja unaweza ingia youtube.
Nimewaona pia video zao kwenye mechi nne za preseason,mdau aliyenionyesha izo video aligoma kabisa kunirushia,nilimuuliza kwanini akunipa jibu ila akanambia michuano ikianza wataziachia.ni mdau maarufu ndani ya club ya Simba.youtube huwa inaonesha wachezaji wote mafundi hakuna wabovu.
So uliona wanaupiga mwingi au ndio tumepigwaNimewaona pia video zao kwenye mechi nne za preseason,mdau aliyenionyesha izo video aligoma kabisa kunirushia,nilimuuliza kwanini akunipa jibu ila akanambia michuano ikianza wataziachia.ni mdau maarufu ndani ya club ya Simba.
maneno mengi mtu unaweza usiaminike sana na wadau,ngoja inyeshe nakuhakikishia Simba hii akuna mahala panapovuja.bati msauzi og,paa la kisasa full gepsam bord. yani Simba imeng'aa mpaka nahisi kuumwa.So uliona wanaupiga mwingi au ndio tumepigwa
Kisinda na mukoko yanga mliazimwa tu kwa muda na ibengwe sio mali yenu