Sadio Kanuti, Enoc inonga na Peter Banda hawa ni wachezaji wenye vipaji

maneno mengi mtu unaweza usiaminike sana na wadau,ngoja inyeshe nakuhakikishia Simba hii akuna mahala panapovuja.bati msauzi og,paa la kisasa full gepsam bord. yani Simba imeng'aa mpaka nahisi kuumwa.
Noma haya ndo maneno sasa
 
Peter Banda is overrated,He needs more time to prove.

Pepe ousmane wa kawaida Sana,hata mechi zenyewe alizocheza ni kwa ajili ya physical sio Tecnical, kuthibitisha hili tusubiri game yeyote ya kimashindano wala sio hizi friends match.
Unaongea as if we ni gadiola hujawahi kuona mechi za simba na hao wachezaji wapya unaanza kubwatuka tu
 
Huyu Fei Toto akitaka ngazi ya kwenda nje aje Simba.
 
Peter Banda na
Sadio Kanutte bado sijawatazama kwa umakini na kujua uwezo wao.
Muda utazungumza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…