Lazima alikorofishwa
Mane na ugomvi wapi na wapi!
Alinyimwa pasi 🤣🤣🤣🤣Lazima alikorofishwa
Mane na ugomvi wapi na wapi!
Hao wanajua hamna mambo ya kuleana....watu nawacheza na mshahara wako tuuKhan ana faini za ajabu, utashangaa anamkata bilioni nzima
Sasa sii bora wao wanabangua waafrica. Miafrica tulivyo wajinga tunabaguana wenyewe kwa wenyeweUjerumani wana ubaguzi wa kisenge sana. Mane ni kijana mpole
Ngoja watoto wa mnyazi waje 😂Huu mwezi wanakuwaga na hasira hasira Sana sababu ya kushinda na njaa
Mane ni mtu poa sanaAlinyimwa pasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani lazima atasemwa yeye tuna vile hawajatoa sababu ya ugomvi halafu ni mtu mweusi, lazima itapokelewa negatively.
Kumbuka him vs Salah kisa Pass 🤣🤣🤣🤣 hadi akatolewa.. hLazima alikorofishwa
Mane na ugomvi wapi na wapi!
Ah kawaida hiyo yote mapito huwezi fanya kazi ulaya ukiwa mweusi alafu usitegemee kubaguliwa.Mane ni mtu poa sana
Very humble
Hadi amefika hiyo hatua ujue alikerwa kiasi cha kushindwa kuzuia hasira yake.
Na hivi ni mwafrica basi ndio atakandiwa hadi basi.
This 🤣🤣Mane ni mtu poa sana
Very humble
Hadi amefika hiyo hatua ujue alikerwa kiasi cha kushindwa kuzuia hasira yake.
Na hivi ni mwafrica basi ndio atakandiwa hadi basi.
Dah nimeumia[emoji3064]Ah kawaida hiyo yote mapito huwezi fanya kazi ulaya ukiwa mweusi alafu usitegemee kubaguliwa.