Sadio Mane ageuka bondia, Bayern yamfungia

Sadio Mane ageuka bondia, Bayern yamfungia

Dah nimeumiq[emoji3064]
Jamaa ni mtu poa sana na amevumilia mengi.
Naona sasa wanataka kujaribu CV yake kwa nguvu.

Huyo Sane anataka Mane achafuke.
Wamuache kijana wa watu jamani,ana watu wengi nyuma yake wanamtegemea.
Mhm hizi sentimwnts zenu ndio zinatufanyaga kuchukulia kazi poa.
Mbona hao hao bayern walikuwa na kuffo na walikuwa wanamkodia hadi private jet toka ghana kwenda germany kiwahi mechi?
Hapo kinafuatwa taratibu za kazi tuu.
 
Yaani lazima atasemwa yeye tu
Aliyeanzisha ugomvi ataachwa.
Ni ubaguzi tu na kutaka kumchafua kijana wetu huyu mwenye nidhamu katika kazi na maisha yake kwa ujumla.

Kati ya waislam safi hapa duniani,na huyu jamaa yupo.
Una uhakika gani kwamba si yeye kaanzisha?

Hao watu wa mbele wanaogopa sana kesi za ubaguzi hivyo sidhani kama usemacho ninkweli
 
Kumbuka him vs Salah kisa Pass [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi akatolewa.. h
Hata huyo Salah naye mbona mara kibao amemnunia Klopp kwa kumfanyia sub.
Akimuanzisha benchi ananuna .

Kila mtu huwa mchoyo kwa nafasi yake.
 
Na hiyo ndio asili ya mwafrika halisi mazoea sawa lakini yasizidi,,, Mazoea yakizidi ni hatari haswa kwa pande zote mbili zenye mazoea hayo!!wenzetu wazungu wameshazoeshana mazoea ya kisengesenge tuu na dharau sasa kwa mwafrika halisi lazima kuna wakati,,inabidi tuu uwashikishe adabu waelewe kuna wakati mambo lazima yaende tuu hata kwa kutandikana makofi na ngumi pia!!!Bravoo S..💴💴💴!!!(Kibunda)
 
Back
Top Bottom