ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kwamba unamjua kiasi hicho? Mane ni black, Sane ni half-caste. Kwa wazungu hawa wawili hawana tofauti, wote ni blacks tu.Yaani lazima atasemwa yeye tu
Aliyeanzisha ugomvi ataachwa.
Ni ubaguzi tu na kutaka kumchafua kijana wetu huyu mwenye nidhamu katika kazi na maisha yake kwa ujumla.
Kati ya waislam safi hapa duniani,na huyu jamaa yupo.