Kwamba unamjua kiasi hicho? Mane ni black, Sane ni half-caste. Kwa wazungu hawa wawili hawana tofauti, wote ni blacks tu.Yaani lazima atasemwa yeye tu
Aliyeanzisha ugomvi ataachwa.
Ni ubaguzi tu na kutaka kumchafua kijana wetu huyu mwenye nidhamu katika kazi na maisha yake kwa ujumla.
Kati ya waislam safi hapa duniani,na huyu jamaa yupo.
Ukimuona mtu jua umeona nusu kuna nusu hujaona ila Kuna siku utaona sehemu Ya nusu iliyibaki.
Kila mtu Ana Unyama ni Suala la kujishkilia ila lock ikitoka kinawaka.
Dah!....toka arudi baada ya kuwa majeruhi ameyumba.Jamaa kaflop sana bayern..majeruhi kila kukicha..ingekua bongo tungesema misumari!
Aje CityAje man u tu
Amemuita black shit, ila yeye kaachwa. Yaani mtu akutukane halafu unaambiwa umuombe msamaha. Fu@&##ck SaneYaani lazima atasemwa yeye tu
Aliyeanzisha ugomvi ataachwa.
Ni ubaguzi tu na kutaka kumchafua kijana wetu huyu mwenye nidhamu katika kazi na maisha yake kwa ujumla.
Kati ya waislam safi hapa duniani,na huyu jamaa yupo.
Binti umejua sababu ya huo ugomvi au umeamua kuharisha tu?Huu mwezi wanakuwaga na hasira hasira Sana sababu ya kushinda na njaa
Kwani watoto wa LGBTQ wao wanasemaje kwanza?Ngoja watoto wa mnyazi waje 😂
Hii ndiyo roho ya miafrika karibu yote.Yaani lazima atasemwa yeye tu
Aliyeanzisha ugomvi ataachwa.
Ni ubaguzi tu na kutaka kumchafua kijana wetu huyu mwenye nidhamu katika kazi na maisha yake kwa ujumla.
Kati ya waislam safi hapa duniani,na huyu jamaa yupo.
Unaeza kuta Sanê kamuita mwenzie choko au basha au shoga kabisa ama unaeza kuta kamwambia wewe nyani tu bora mimi half cast alafu naishi Ulaya kwa uraia wa kuzaliwa,au wewe wakuja una...nywaLazima alikorofishwa
Mane na ugomvi wapi na wapi!
Nani kamtibua huyu Ustadh jamani[emoji3064]
Hadi amereact hivyo basi amevumilia akashindwa.
Wasiharibu CV yake,ni mchezaji mwenye nidhamu na mshika dini mzuri sana.
Na bora wamegombana magiza watupuna vile hawajatoa sababu ya ugomvi halafu ni mtu mweusi, lazima itapokelewa negatively.
Wanasema kazi iendeleeKwani watoto wa LGBTQ wao wanasemaje kwanza?
Yaani lazima atasemwa yeye tu
Aliyeanzisha ugomvi ataachwa.
Ni ubaguzi tu na kutaka kumchafua kijana wetu huyu mwenye nidhamu katika kazi na maisha yake kwa ujumla.
Kati ya waislam safi hapa duniani,na huyu jamaa yupo.
Yaani lazima atasemwa yeye tu
Aliyeanzisha ugomvi ataachwa.
Ni ubaguzi tu na kutaka kumchafua kijana wetu huyu mwenye nidhamu katika kazi na maisha yake kwa ujumla.
Kati ya waislam safi hapa duniani,na huyu jamaa yupo.
[emoji1787][emoji1787][emoji106]Ukimuona mtu jua umeona nusu kuna nusu hujaona ila Kuna siku utaona sehemu Ya nusu iliyibaki.
Kila mtu Ana Unyama ni Suala la kujishkilia ila lock ikitoka kinawaka.
Lkn kwa wazungu ni heri ya nusu shali kuliko Shari kamili, hivyo kwa sane ni nusu Shari na mane ni Shari kamili[emoji42]Kwamba unamjua kiasi hicho? Mane ni black, Sane ni half-caste. Kwa wazungu hawa wawili hawana tofauti, wote ni blacks tu.
Ujerumani wana ubaguzi wa kisenge sana. Mane ni kijana mpole na huu ni mwezi mtukufu. Man City chukueni chuma hicho
Wew nimkewe!!Ninavyomjua Mane yeye hanaga baya, atakuwa kachokozwa kupitiliza ndo maana akareact