Sadio Mane amejenga uwanja kijijini kwao. Utopolo na makolo wanashindwa nini kuwa na viwanja?

Utafiti unasema nyasi bandia sio nzuri kiafya.

Material zinazotumikia kutengeneza zinapelekea magonjwa kama kansa.

Wenzetu huko ulaya wameanza kuondoa hizo nyasi na kurudi zile za asili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…