Sadio Mane atoa misaada kijijini kwao

Akili zako ni za kuvukia barabara tu......yeye kaona msikiti na wewe jenga zahanati sio unapayuka kutanua domo tu hapa....BS
 
Jamaa anafurahisha sana yaani yaani anampangia mtu matumizi wakati hajamsaidia kutafuta
Yaani umpangie mtu kipaumbele kwa pesa yake wakati hata asipojenga chochote akaamua kulewa humwambii kitu ! Acha vituko wewe
 
Akili zako ni za kuvukia barabara tu......yeye kaona msikiti na wewe jenga zahanati sio unapayuka kutanua domo tu hapa....BS
Akili zako za madrasa,ngoja nikuache.

Nilijua tu kuna watu kama wewe mtahamaki sababu ya udini.
 
Hiyo inaitwa give back to the community!

Ova
 
Safi sana, Mwenyezi Mungu akuzidishie mafanikio kwenye soka lako
 
Ilo ni jukumu ya serikali mkuu, watu wanalipa kodi ili zitumike kujenga hivyo vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…