upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Sawa mkuu.Ni kipaumbele Pia jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.Ni kipaumbele Pia jamani
Nimeacha mkuu,nakuahidi sirudii tena kufanya vituko.Yaani umpangie mtu kipaumbele kwa pesa yake wakati hata asipojenga chochote akaamua kulewa humwambii kitu ! Acha vituko wewe
Hii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Safi sana,wengie jengeni chuki.
Huna Akili wewe.Hii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Ninazo za kuvukia barabara mkuu.Huna Akili wewe.
Huna mamlaka ya kuniambia nikae kimya,choko nini wewe!
Pia koma kuniquote,SOB.
Hospitali na shule hazijai mkuu?hivi usipoenda msikitini au kanisani utakufa?
Kuna mahali tunafeli kwenye vipaumbele na hili ni kuanzia serikalini na sasa mpaka kwa watu wetu mashuhuri.
Alichofanya Samatta nisawa na kununua midege kwa mkupuo(inayohudumia watu wachache sana kati ya 55M) huku watoto wa vyuo vikuu wakinyimwa mikopo,wakulima wakikosa ruzuku za pembejeo,madawa yakiwa haba hospitalini nk
Huo msikiti utahudumia watu wachache sana ambao hao hao hawana uhakika wa tiba bora wala elimu bora.
Ni bora kubanana msikitini au kanisani lakini sio hospitalini mkuu..
Yaani umpangie mtu kipaumbele kwa pesa yake wakati hata asipojenga chochote akaamua kulewa humwambii kitu ! Acha vituko wewe
Akili zako za madrasa,ngoja nikuache.Akili zako ni za kuvukia barabara tu......yeye kaona msikiti na wewe jenga zahanati sio unapayuka kutanua domo tu hapa....BS
kajenga chuki [emoji23][emoji23]Wewe umejenga nini?
mkuu me nmekuelewa sana point yako achana na hao wafia dini hawawezi kukuelewaNimeacha mkuu,nakuahidi sirudii tena kufanya vituko.
Hii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Kwani Mane hakujenga msikiti ? Jibu ni kuwa amejengaHii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
HHayo ni majukumu ya serikali mkuu , watu si wanalipa kodi ili zitumike kufanya vitu kama hivyojenga shule hospitality siyo misikit
Ilo ni jukumu ya serikali mkuu, watu wanalipa kodi ili zitumike kujenga hivyo vituAkili yako ndogo inaona chuki tu.
Hapo ulipo huna hata uhakika wa huduma bora za afya wala elimu bora kwa wanao lakini unashangilia ujenzi wa nyumba za ibada as if tuna upungufu wa hivyo vitu.
Makanisa na Misikiti vimejaa tele,waumini wenyewe wakubangaiza afu bado unatuongezea ili iweje?wapuuzi kama wewe ndio mnaweza shangilia this type of non-sense.