Sadio Mane atoa misaada kijijini kwao

Sadio Mane atoa misaada kijijini kwao

Akili zako ni za kuvukia barabara tu......yeye kaona msikiti na wewe jenga zahanati sio unapayuka kutanua domo tu hapa....BS
Hospitali na shule hazijai mkuu?hivi usipoenda msikitini au kanisani utakufa?

Kuna mahali tunafeli kwenye vipaumbele na hili ni kuanzia serikalini na sasa mpaka kwa watu wetu mashuhuri.

Alichofanya Samatta nisawa na kununua midege kwa mkupuo(inayohudumia watu wachache sana kati ya 55M) huku watoto wa vyuo vikuu wakinyimwa mikopo,wakulima wakikosa ruzuku za pembejeo,madawa yakiwa haba hospitalini nk

Huo msikiti utahudumia watu wachache sana ambao hao hao hawana uhakika wa tiba bora wala elimu bora.

Ni bora kubanana msikitini au kanisani lakini sio hospitalini mkuu..
 
Jamaa anafurahisha sana yaani yaani anampangia mtu matumizi wakati hajamsaidia kutafuta
Yaani umpangie mtu kipaumbele kwa pesa yake wakati hata asipojenga chochote akaamua kulewa humwambii kitu ! Acha vituko wewe
 
Akili zako ni za kuvukia barabara tu......yeye kaona msikiti na wewe jenga zahanati sio unapayuka kutanua domo tu hapa....BS
Akili zako za madrasa,ngoja nikuache.

Nilijua tu kuna watu kama wewe mtahamaki sababu ya udini.
 
Hiyo inaitwa give back to the community!

Ova
 
Safi sana, Mwenyezi Mungu akuzidishie mafanikio kwenye soka lako
 
Akili yako ndogo inaona chuki tu.

Hapo ulipo huna hata uhakika wa huduma bora za afya wala elimu bora kwa wanao lakini unashangilia ujenzi wa nyumba za ibada as if tuna upungufu wa hivyo vitu.

Makanisa na Misikiti vimejaa tele,waumini wenyewe wakubangaiza afu bado unatuongezea ili iweje?wapuuzi kama wewe ndio mnaweza shangilia this type of non-sense.
Ilo ni jukumu ya serikali mkuu, watu wanalipa kodi ili zitumike kujenga hivyo vitu
 
Back
Top Bottom