Mimi ndani ya wiki mbili nimezika Baba mdogo na dada yangu kwa tatizo la upumuaji....Ni zaidi ya maumivu kila kitu tumemuachia Munguduu, jamani..mbona kila ukiingia jamii forum ni "kafariki"
Soon watapiga ban naona wanajaribu kuficha pembeduu, jamani..mbona kila ukiingia jamii forum ni "kafariki"
Foronya failas.Mimi ndani ya wiki mbili nimezika Baba mdogo na dada yangu kwa tatizo la upumuaji....Ni zaidi ya maumivu kila kitu tumemuachia Mungu
Nasikia mnataka kukimbia huko ...mmeambiwa kuchagua tumbo ama kupoteza kibarua...Poleni sana!
Huko kwenye ma Whatsup groups ndio usiseme😭duu, jamani..mbona kila ukiingia jamii forum ni "kafariki"
Tulizembea sana ndani ya hii miezi miwili TUTA TAFUTANA.Wanasema wataalamu hiyo variant ya south Africa haina chanjo mpaka leo SAA name na dakika 55