TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

Nasikia ni huko Mzizima Muhimbili na ile kitu ya Zululand (fastafasta)

Changamoto za upumuaji

Foronya failas.

Daaah poleni sana.
Alafu anasimama mtu mmoja kifua mbele anatema mashudu

Hivi hakuna mstaafu anayeweza kuongea na ngazi ya juu ili hili jambo lichukuliwe serioulsy!!!

Hapa Mwanza Mzee Maarufu na Kada wa CCM MZEE kAFITI afariki dunia.
Udini, ukabila na uvyama, havina Maana katika matukio kama haya, matukio ambayo utake usitake Lazima ufe, Haina Afya hata kidogo kuendeleza utani usio na tija

Huyo anayeandika mambo ya Corona wanapokufa sjui wa CCM, achana naye, Mimi Naamini ni ujinga tu wa kutafuta like ambapo hata yeye akikaa na kutafakari, inamuumiza moyo,

Like haziwezi kuleta faraja yoyote Kwa mtu anapoleta nyuzi zinazomsuta hata yeye mwandishi

Mambo ya kufanyia siasa yapo, lakini kuna mengine yanahitaji utu, na akosaye utu juu ya mambo yenye utu, yaletayo simanzi huyo ni wa kupuuza

R.I.P na poleni sana wafiwa wote

Mkuu PAUL unaona kinacho endelea hapa, maneno hayo umeyaona kwenye uzi wa Tanzia ya ya kiongozi wa Chadame kule.?
 
Back
Top Bottom