TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

Poleni sana wafiwa, Mungu awape subira...

Kweli binaadamu si chochote, pesa kaacha anaenda na sanda tu...
 
Hivi hakuna mstaafu anayeweza kuongea na ngazi ya juu ili hili jambo lichukuliwe serioulsy.
Yaani mkuu kuchukua tahadhari hadi uambiwe na mstaafu wewe mwenyewe huwezi kujikinga watanzania mbona mambugila hivi
 
yani mkuu kuchukua tahadhari hadi uambiwe na mstaafu wewe mwenyewe huwezi kujikinga watanzania mbona mambugila hivi
Ningekuwa sina uelewa nisingeandika hapa, mimi nina uelewa lakini kuna watu hawana awareness na wala hawachukui tahadhali, daladala zinashona abiria mpaka basi, likitoka tamko la kuzuia misongamano ya kwenye daladala na kwingineko litanusuru wengi
 
Ningekuwa sina uelewa nisingeandika hapa, mimi nina uelewa lakini kuna watu hawana awareness na wala hawachukui tahadhali, daladala zinashona abiria mpaka basi, likitoka tamko la kuzuia misongamano ya kwenye daladala na kwingineko litanusuru wengi
Nani asiyejua kuhusu Corona dunia hii
 
duu, jamani..mbona kila ukiingia jamii forum ni "kafariki"
Ishu ni kwamba zamani watu walikuwa wakifa Tanzia haziletwi, ila sasa hivi hata akifa muuza juice maarufu, basi inaletwa Tanzia, ndio mana unaona hivyo..
 
nani asiyejua kuhusu Corona dunia hii
Kama watu wote wanajua corona mbona wanajazana kwenye daladala bila barakoa? Kunawa mikono je? NI HIVI KUNA WATANZANIA WAMEKATA TAMAA NA MAISHA, HAWAJALI KUFA AU KUTOKUFA. Mtu wa hivi ni HATARI SANA. BIASHARA ILIKUWA SAWASAWA TU WAKATI TUMEJITAHIDI KUFUATA USHAURI WA AFYA.

Kulikuwa na matumaini maana ugonjwa ulipungua sana. TUMEACHA KUFUATA HATUA ZA KINGA NA UNAINGIA KWA NGUVU. SIJAONA MCHINA YEYOTE ANATEMBEA BILA KINGA YA BARAKOA. Hatujiulizi? NANI ATATUSAIDIA TUJIKINGE WOTE NA HAO 3ASIOJALI? SERIKALI
 
nani asiyejua kuhusu Corona dunia hii
Kama watu wote wanajua corona mbona wanajazana kwenye daladala bila barakoa? Kunawa mikono je? NI HIVI KUNA WATANZANIA WAMEKATA TAMAA NA MAISHA, HAWAJALI KUFA AU KUTOKUFA. Mtu wa hivi ni HATARI SANA.

BIASHARA ILIKUWA SAWASAWA TU WAKATI TUMEJITAHIDI KUFUATA USHAURI WA AFYA. Kulikuwa na matumaini maana ugonjwa ulipungua sana.

TUMEACHA KUFUATA HATUA ZA KINGA NA UNAINGIA KWA NGUVU. SIJAONA MCHINA YEYOTE ANATEMBEA BILA KINGA YA BARAKOA. Hatujiulizi? NANI ATATUSAIDIA TUJIKINGE WOTE NA HAO 3ASIOJALI? SERIKALI
 
Back
Top Bottom