Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Una akili timamu wewe?
Yaani unaleta siasa mpaka msibani, vumilia kidogo tumstiri marehemu turumbane tena kwa hoja madhubuti.
nina akili kukuzidi mimi nilifanya Mensa Test ya kupima IQ natambuliwa kimataifa kwa IQ kubwa
katest kama akili unazo na IQ test ni bure tu andika google Mensa Test itakuja utaifanya online na majibu watakupa hapo hapo ukimaliza kujibu utajua kama wewe una akili au bwege ingia hata sasa hivi upimwe IQ yako
www.mensa.org
Umeelewa maana ya "Taarifa zaidi kuwajia"?
Umeambiwa taarifa zaidi utapewa hivi punde hivo subiri
Ushambiwa taarifa zaidi zitawajia hivi punde!
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ukiwa CCM lazima uwe mjinga , uwe na roho mbaya , mnafiki , uwe na roho ya kichawi yaani jitu linaambiwa taarifa zitafuata lenyewe linaanza ukosoaji wa kitabulalasa kiempty head , hivi hili li CCM limeandika nn hapa .
Yeye hajafa kwa matatizo ya kushindwa kupumua?
Sasa ndo umeongea nini hapo,Never rejoice when someone is going through difficulties like losing loved ones, even yourself u will die one day at a time,death knows no political boundaries,
Ugonjwa wa CORONA si wa kushindania wala kubezana, ni ugonjwa ambao watanzania wote inabidi tuwe pamoja kusaidiana katika kutoa maelezo jinsi ya kujikinga. Kutoelewa ukubwa wa tatizo hili kunafanya kuwa watanzania wote ni wajinga. Elimu inahitajika!
Hili si swala la CCM wala CHADEMA, ni swala la watanzania wote.
Eee Mola wetu tupe stara, ueleo, nuru, elimu na upendo katika mtihani huu uliotuletea, na tutoe katika kiza cha UCHAMA katika kadhia hii.
Alale salama Mhe. Dennis Arcado Ntagazwa
Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba Erythrocyte 🙏
Wakuu njooni muone kinacho endelea hapa, hapa wala watu hawahitaji taarifa zaidi bali wesha jiridhisha kuwa huyu mtu kafa kwa Corona tofauti na yule malaika kule yeye tunatakiwa tusubiri taarifa zaidi.Mwambie huyo kamanda uchwara wa ufipa.
RIP Arcado Ntagazwa.