TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

Kama watu wote wanajua corona mbona wanajazana kwenye daladala bila barakoa? Kunawa mikono je? NI HIVI KUNA WATANZANIA WAMEKATA TAMAA NA MAISHA, HAWAJALI KUFA AU KUTOKUFA. Mtu wa hivi ni HATARI SANA.

BIASHARA ILIKUWA SAWASAWA TU WAKATI TUMEJITAHIDI KUFUATA USHAURI WA AFYA. Kulikuwa na matumaini maana ugonjwa ulipungua sana.

TUMEACHA KUFUATA HATUA ZA KINGA NA UNAINGIA KWA NGUVU. SIJAONA MCHINA YEYOTE ANATEMBEA BILA KINGA YA BARAKOA. Hatujiulizi? NANI ATATUSAIDIA TUJIKINGE WOTE NA HAO 3ASIOJALI? SERIKALI
Yaani hadi kuvaa barakoa uambiwe na serikali au usipande daladala lililojaa haya subiri serikali mkuu au nasema uongo ndugu zanguuuuu
 
Jamani watu wa Moshi tafadhali kuweni makini na hii misiba, tunawapelekea corona wazee wetu huko Kilimanjaro bila sababu za msingi, kwanini tusizike mahali mtu alikofia? Ya nini kupeleka mauti nyumbani? Tunahatarisha maisha ya ukoo mzima kiukweli, tuangalie utamaduni huu upya ili Kuwakinga wazee wetu.
 
luambo makiadi
 
yani mkuu kuchukua tahadhari hadi uambiwe na mstaafu wewe mwenyewe huwezi kujikinga watanzania mbona mambugila hivi

Unaweza kujikinga wewe kama wewe, but hao atakaokutananao hawafuati masharti, na wanaoishi vijijini pia hawajui kitu kinaitwa mdudu corona.
 
Back
Top Bottom