BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Tuchukue tahadhari usisubiri tamko...
Kweli kamanda, yatupasa tujiongeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuchukue tahadhari usisubiri tamko...
Nimekwambia thibitisha mimi muongo.Wewe hujielewi. Unazusha vitu kwa faida ya nani. Hao watu waliokufa umewaona? Punguza umbea kaka utasutwa.
Tuchukue tahadhari usisubiri tamko...
Jane, jihadhari hali ni tete...watu wanachomoka acha kabisa....Uongo haukusaidii chochote kaka
We kaka umekaa kimbeambea sana. Nakufananisha na Juma LokoleNimekwambia thibitisha mimi muongo.
Umeshindwa.
Kanisa Katoliki tu, limetangaza kwamba vifo kwa kila parokia za mijini vimeongezeka kutoka kifo kimoja au viwili kwa wiki mpaka vifo kila siku ya wiki.
Hao Wakatoliki tu, bado hatujaenda kwa Waprotestanti na Waislamu na Wahindu na wa dini za asili na wasio na dini.
Usibishie fact kwa kutumia hisia.
Hapo ndipo mwisho wa uwezo wako, nimekupa facts umekuja na mipasho.We kaka umekaa kimbeambea sana. Nakufananisha na Juma Lokole
Acha upimbi wewe, pumbavu!!Wewe hujielewi. Unazusha vitu kwa faida ya nani. Hao watu waliokufa umewaona? Punguza umbea kaka utasutwa.
Duu, jamani..mbona kila ukiingia Jamiiforums ni "kafariki"
Hivi we kaka mbona uko hivyo? Yaani maneno machafu machafu. No wonder huna mke hadi leoHapo ndipo mwisho wa uwezo wako, nimekupa facts umekuja na mipasho.
Siwezi kujibizana nawe zaidi utanipaka shombo.
Nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona unachoandika.
Kwanza sina kawaida ya kubishana na wanawake, inawezekana una mimba inakusumbua, au uko kwenye siku zako za hedhi unatokwa damu, halafu unataka kuniletea matatizo yako hapa.
Ignore list yangu imeongeza member leo.
Kwani umelazimishwa kusoma?Hakuna SIKU ambayo WATU HAWAFARIKI.
Ila Naina sasa wameamua Kula anayekufa iletwe tanzia
kuna wimbo uko you tube unaitwa dumb ways to die unawafaa sana hao jamaa yanaopenda kuishi kwa matamkoWabongo wanasubiri tamko la waziri Mkuu
Angalia TBC1 na Radio ya taifa na utajua kwamba wizara ya afya inatangaza sana juu ya kuchukua tahadhari, na imekuwa ikifanya hivyo toka Corona ilipoingia kwa mara kwanzaHayo wanayo hangaika nayo TEC, OUT nk yafanywe na serikali pia kuongeza uzito
Ndio maana nikauliza, mnataka seriousness ipi ionyeshwe na serikali?Watu wengine mnapenda kujifanya machizi, nani kazungumzia ishu za lockdown?
Kwani umelazimishwa kusoma?