Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Na ameajiri watu wengi tu, na analipa kodi za TRA.Wee huyu ni mfanya biashara tena kubwa maarufu. Siyo muuza Juice.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ameajiri watu wengi tu, na analipa kodi za TRA.Wee huyu ni mfanya biashara tena kubwa maarufu. Siyo muuza Juice.
Mrema akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani aliwahi kuzungumzia uchafu wa jiji la Dar kuwa umekithiri na akaingilia kati kulipigia kelele, Mkuu wa Mkoa Mama Chips wakati huo akamwambia asiingilie kazi za watu.Sababu si kazi yao, kuna miiko na taratibu ya kufikisha taarifa hasa wakati wa majanga. Vinginevyo leo ataibuka mtu atasema Dar yote wana Ebola, hiyo ni kazi ya mamlaka teule
Hiyo ndio sheria, kama huipendi mfikishie mbunge wako akaombe irekebishwe..Mrema akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani aliwahi kuzungumzia uchafu wa jiji la Dar kuwa umekithiri na akaingilia kati kulipigia kelele, Mkuu wa Mkoa Mama Chips wakati huo akamwambia asiingilie kazi za watu.
Mrema alifanya vile baada ya kuona mamlaka husika hazitimizi wajibu wao ni bora aingilie kati kunusuru afya za wananchi, suala hilo lilimgharimu Mama Chips akapote kwenye ulimwengu wa siasa.
OK.Ndossi na Nkya can't be brothers maybe Cousins.
Hawa ndy wale watu wa mwanzo kuuza spareAna Duka kubwa pia pale Arusha...saba general
[emoji106][emoji106]Shukran kwa kunirekebisha, kumbe ni"Badi"
Urafiki uliopitilizaHivi hawa jamaa ni marafiki ama brothers?.
Ni kweli mkuu, ni moja ya Madon wa spare kitambo
Ahaaa daa we nomaaForonya failas.
Daaah poleni sana.
Alafu anasimama mtu mmoja kifua mbele anatema mashudu
Maka? Ismail? Sale?Aisee, mwanaye ni rafiki yangu sana
Hivi inawezekana kupanda daladala ambayo haihajaa?Yaani hadi kuvaa barakoa uambiwe na serikali au usipande daladala lililojaa haya subiri serikali mkuu au nasema uongo ndugu zanguuuuu
Only friends.... Walianza wakiwa wavulana kama mafundi wa pikipiki moshi.Hivi hawa jamaa ni marafiki ama brothers?.
Hofu, kukatisha tamaa, ndio ugonjwa wa member wa jfONDOENI HOFU
HOFU NI UGONJWA MBAYA SANA
Dada wewe ni mbishi watu wanakufa sana ndani ya mwezi wa kwanza na wapili ninao wajua waliokufa zaidi ya 8.Wewe hujielewi. Unazusha vitu kwa faida ya nani. Hao watu waliokufa umewaona? Punguza umbea kaka utasutwa.
Nimepata taarifa ya kuwa Mzee Sadru Ndossi ambaye ni moja wa mmiliki wa Kampuni kubwa ya kuuza spea za magari na pikipiki amefariki Dunia leo asubuhi.
Pia anamiliki majengo kadhaa hapa mjini bila shaka ndiye mmiliki wa Jengo la SS Concrete Pale Africana.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake karibu na Corner bar.
Mwili utasafirishwa kesho kuzikwa Moshi
RIP Mzee Ndossy
Mpaka kufika tarehe 20.04.2021 tutakuwa na Corona 99% kama mnakumbuka mpaka kufika kipindi icho covid 19 ilikuwa balaaaa sanaDuu, jamani..mbona kila ukiingia Jamiiforums ni "kafariki"
....Sahihisho: sio 'Mmoja wa Mmiliki'...Nimepata taarifa ya kuwa Mzee Sadru Ndossi ambaye ni moja wa mmiliki wa Kampuni kubwa ya kuuza spea za magari na pikipiki amefariki Dunia leo asubuhi.
Pia anamiliki majengo kadhaa hapa mjini bila shaka ndiye mmiliki wa Jengo la SS Concrete Pale Africana.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake karibu na Corner bar.
Mwili utasafirishwa kesho kuzikwa Moshi
RIP Mzee Ndossy
Hii taarifa si ya Mwaka Jana?Nimepata taarifa ya kuwa Mzee Sadru Ndossi ambaye ni moja wa mmiliki wa Kampuni kubwa ya kuuza spea za magari na pikipiki amefariki Dunia leo asubuhi.
Pia anamiliki majengo kadhaa hapa mjini bila shaka ndiye mmiliki wa Jengo la SS Concrete Pale Africana.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake karibu na Corner bar.
Mwili utasafirishwa kesho kuzikwa Moshi
RIP Mzee Ndossy