TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

Jamani watu wa Moshi tafadhali kuweni makini na hii misiba, tunawapelekea corona wazee wetu huko Kilimanjaro bila sababu za msingi, kwanini tusizike mahali mtu alikofia? Ya nini kupeleka mauti nyumbani? Tunahatarisha maisha ya ukoo mzima kiukweli, tuangalie utamaduni huu upya ili Kuwakinga wazee wetu.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro jana alizungumza
Kuhusu kujazana kwenye misiba, sherehe, harusi etc

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Nimepata taarifa ya kuwa Mzee Sadru Ndossi ambaye ni moja wa mmiliki wa Kampuni kubwa ya kuuza spea za magari na pikipiki amefariki Dunia leo asubuhi.

Pia anamiliki majengo kadhaa hapa mjini bila shaka ndiye mmiliki wa Jengo la SS Concrete Pale Africana.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake karibu na Corner bar.

Mwili utasafirishwa kesho kuzikwa Moshi

RIP Mzee Ndossy
YOU WILL ALL DIE LIKE FLEAS , ITS JUST THE MATTER OF TIME .
Hii inatokea pale akili ndogo inaposhindana na akili kubwa , kujifanya wajuaji kumbe kenge Tu .Huwezi shindana na ugonjwa through stupid denial and superstitious beleifs ,
Stupid Tanzanians
 
Yaani hadi kuvaa barakoa uambiwe na serikali au usipande daladala lililojaa haya subiri serikali mkuu au nasema uongo ndugu zanguuuuu
Unaonekana wew ni ngumu sana kuelewa au ni mjinga. Itoshe kusema hivyo tu.
 
Maisha mtamu mjomba, Wewe hukumsikia juzi anasema alioneshwa kinyongeo Gereza la Isanga alitetemeka mwanzo mwisho.
Mbona akioneshwa bunduki iliyotumika kummiminia Lissu risasi pale Area D hatetemeki
 
Hatari sana. Kumbuka kifo hakina mtu maarufu, otherwise akina Nyerere wangekuwepo mpaka leo. Ni mamlaka ya Mungu pekee kutoa na kutwaa.
 
Hivi hakuna mstaafu anayeweza kuongea na ngazi ya juu ili hili jambo lichukuliwe serioulsy.
Angalau hayati Mkapa alikuwa anasikilizwa kidogo, Waliobaki mmmh! Sasa hivi kila mtu apambane na hali yake tu, kuchukua tahadhari zote zinazotakiwa na kumuomba Mungu atuepushie hili balaa
 
Angalau hayati Mkapa alikuwa anasikilizwa kidogo, Waliobaki mmmh! Sasa hivi kila mtu apambane na hali yake tu, kuchukua tahadhari zote zinazotakiwa na kumuomba Mungu atuepushie hili balaa
Amina

Barikiwa sana
 
  • Thanks
Reactions: ram
Uzembe na kejeli tulizofanya tangu mwanzo wakati wenzetu wanapandana na hali hii ndio inatutafuna kwa sasa kwa kiasi hiki cha kutisha.
 
Thibitisha mimi muongo.

Halafu mimi siwezi kuwa na dada mjinga kama wewe usijinasibu ukaka nami.
Wewe hujielewi. Unazusha vitu kwa faida ya nani. Hao watu waliokufa umewaona? Punguza umbea kaka utasutwa.
 
Back
Top Bottom