ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mimi kama mwanachama wa Yanga. Siridhishwi na kiwango na mbinu za coach Saed Ramovic
Huyu alitakiwa awe coach msaidizi apate uzoefu
Sijui Eng Hersi ulimchukua Kwa wasifu gani
Mapungufu yake
1. Hana mbinu nzuri
Saed Ramovic ana mbinu butu mno,
Unaona hata timu inavocheza ni kama haina coach ila ni vipaji na uzoefu wa wachezaji tunapata ushindi
Mfumo wake hauleweki
Anatumia 4 - 4 -2
5_ 3_2
3_5_2
4-5-1
2. Hajui kuongea na media
Nimeshangaa Coach Saed Ramovic kutamka hadharani ati ligi ni dhaifu,
Hii kauli yake ni mbaya itafanya timu pinzani kuikamia Yanga ili kumthibitishia kuwa ligi sio dhaifu
Yaani ni sawa kusema hadharani kuwa mke wangu sio mzuri kama wa Fulani hadharani na huyo mke unae analeta watoto, anakupikia n. K
Hii sio hekima
3. Anashindwa ku manage timu
Kuna wachezaji anawaogopa majina,
Dube, Musonda, Mudathir wanapuyanga anashindwa kuwaweka benchi
Nilishangaa mechi ya kimaamuzi anashindwa kumtoa Musonda na Dube waliokuwa wanakimbia kama hawana vichwa
5. Anataka kuogopwa
Hajui kuishi na wachezaji kama Gamondi, Nabi au angalau kidogo muhindi Fadlu wa Simba
Nilishangaa siku amefika anasema hadharani kuwa hataki starehe Kwa wachezaji, hiyo ilikuwa sio kauli ya kusema hadharani
Angeibadilisha kambini taratibu
6. Hajiamini
Ni mwoga usoni, hajui ana falsafa Gani
Yaani mechi ya kimaamuzi unamwanzisha Musonda unamweka Pacome na Max bench
7. Saed Ramovic ana maneno kuzidi matendo
Aliona mike anabwabwaja tu bila kupima uzito wa kauli zake
Eng Hersi huu msimu nakiri wazi Kwa uweZo mdogo wa coach Saed Ramovic hatutapata ubingwa wa NBC pl