No Internet
Member
- Dec 1, 2024
- 30
- 73
Umeanza kuwa na akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilidhani leo umeamua kuongea mpira kumbe yale yale tu.Kapombe
Shabalala
Ngoma
Mzamiru
Mukwala
Ateba
Camara
Mutale
Kibu
Hawa unawaona under 17 🤣
Hakika Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Hata kipindi anatoka kule sauzi hakuwa na matokeo mazuri kwenye timu yakeHamna kocha pale
Sisi mashabiki tunamtetea tu ila kilaza kama Robertinho
Ramovic anashindwa kutumia rasirimali zilizopoNilidhani leo umeamua kuongea mpira kumbe yale yale tu.
Energy ya hao wote uwanjani unaweza kulinganisha na wanachokupa sasa hivi kina Aucho, Pacome, Diarra, Dube na wengine hapo utopoloni?
Pia hauoni rotation ya kina Zimbwe/Nouma, Ngoma, Mukwala/Ateba?
Hivi unajua hata kinachoendelea kwenye timu yako kweli? Saidi Kichwa kaja kakuta Baleke tayari ni kama ameshaachwa maana hata Gamondi hakuwa anamtumia. Huyo tapeli mpya wa kikongo katambulishwa juzi na mkadanganywa mtamuona Jmosi kumbe hawezi kuchezea uto CAF. Max mgonjwa. Musonda unamuweka pande mbili huku unamkandia huku unamsifia. Nadhani hauko sawa kisaikolojia.Ramovic anashindwa kutumia rasirimali zilizopo
Una Mkude, sure boy, Abuya, mudathir
Max, Chama, Pacome, Aziz ki,
Faridi,Nkane, Ikangalombo,
Dube, Musonda, Mzize, unamwacha Baleke unabaki na Musonda
Baca, Job, Mwamnyeto
A few moment later....Ndimi mbiliView attachment 3209261
Mwanachama wa RageHivi unajua hata kinachoendelea kwenye timu yako kweli? Saidi Kichwa kaja kakuta Baleke tayari ni kama ameshaachwa maana hata Gamondi hakuwa anamtumia. Huyo tapeli mpya wa kikongo katambulishwa juzi na mkadanganywa mtamuona Jmosi kumbe hawezi kuchezea uto CAF. Max mgonjwa. Musonda unamuweka pande mbili huku unamkandia huku unamsifia. Nadhani hauko sawa kisaikolojia.
Maisha yanaenda kasi sana, leo shabiki lia lia wa uto anamlilia Chama, Baleke, Mkude na Mwenda. Kweli kila jambo lipe muda.....Mwanachama wa Rage
Hao ni wafanyakazi sio Wanachama wa Simba kama weweMaisha yanaenda kasi sana, leo shabiki lia lia wa uto anamlilia Chama, Baleke, Mkude na Mwenda. Kweli kila jambo lipe muda.....
Aliyekwambia wanachama hawahami ni nani? Muulize GSM, Priva, Manara na wengine mlionao huko utopoloni waliokuja kuvuna kwa wajingaHao ni wafanyakazi sio Wanachama wa Simba kama wewe
Mchezaji anahama
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
😂😂 kula chuma hikoNdimi mbiliView attachment 3209261