BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Hapa unakimbia Dj mlete ngara23 atujibu hii kitu ukojeNdimi mbiliView attachment 3209261
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa unakimbia Dj mlete ngara23 atujibu hii kitu ukojeNdimi mbiliView attachment 3209261
Mambo hubadilikaNdimi mbiliView attachment 3209261
Ubaya Ubwege mwanangu!Ubaya ubwela
Tumefurahi hamjafuzu!!
Mimi kama mwanachama wa Yanga. Siridhishwi na kiwango na mbinu za coach Saed Ramovic
Huyu alitakiwa awe coach msaidizi apate uzoefu
Sijui Eng Hersi ulimchukua Kwa wasifu gani
Mapungufu yake
1. Hana mbinu nzuri
Saed Ramovic ana mbinu butu mno,
Unaona hata timu inavocheza ni kama haina coach ila ni vipaji na uzoefu wa wachezaji tunapata ushindi
Mfumo wake hauleweki
Anatumia 4 - 4 -2
5_ 3_2
3_5_2
4-5-1
2. Hajui kuongea na media
Nimeshangaa Coach Saed Ramovic kutamka hadharani ati ligi ni dhaifu,
Hii kauli yake ni mbaya itafanya timu pinzani kuikamia Yanga ili kumthibitishia kuwa ligi sio dhaifu
Yaani ni sawa kusema hadharani kuwa mke wangu sio mzuri kama wa Fulani hadharani na huyo mke unae analeta watoto, anakupikia n. K
Hii sio hekima
3. Anashindwa ku manage timu
Kuna wachezaji anawaogopa majina,
Dube, Musonda, Mudathir wanapuyanga anashindwa kuwaweka benchi
Nilishangaa mechi ya kimaamuzi anashindwa kumtoa Musonda na Dube waliokuwa wanakimbia kama hawana vichwa
5. Anataka kuogopwa
Hajui kuishi na wachezaji kama Gamondi, Nabi au angalau kidogo muhindi Fadlu wa Simba
Nilishangaa siku amefika anasema hadharani kuwa hataki starehe Kwa wachezaji, hiyo ilikuwa sio kauli ya kusema hadharani
Angeibadilisha kambini taratibu
6. Hajiamini
Ni mwoga usoni, hajui ana falsafa Gani
Yaani mechi ya kimaamuzi unamwanzisha Musonda unamweka Pacome na Max bench
7. Saed Ramovic ana maneno kuzidi matendo
Aliona mike anabwabwaja tu bila kupima uzito wa kauli zake
Eng Hersi huu msimu nakiri wazi Kwa uweZo mdogo wa coach Saed Ramovic hatutapata ubingwa wa NBC pl
Huyu kocha anatakiwa kupewa muda sana, huwezi kutegemea makubwa CAFCL kwa kocha ambaye hajawai kabisa kushiriki, halafu bahati mbaya msimu kaukuta umeanzaMimi kama mwanachama wa Yanga. Siridhishwi na kiwango na mbinu za coach Saed Ramovic
Huyu alitakiwa awe coach msaidizi apate uzoefu
Sijui Eng Hersi ulimchukua Kwa wasifu gani
Mapungufu yake
1. Hana mbinu nzuri
Saed Ramovic ana mbinu butu mno,
Unaona hata timu inavocheza ni kama haina coach ila ni vipaji na uzoefu wa wachezaji tunapata ushindi
Mfumo wake hauleweki
Anatumia 4 - 4 -2
5_ 3_2
3_5_2
4-5-1
2. Hajui kuongea na media
Nimeshangaa Coach Saed Ramovic kutamka hadharani ati ligi ni dhaifu,
Hii kauli yake ni mbaya itafanya timu pinzani kuikamia Yanga ili kumthibitishia kuwa ligi sio dhaifu
Yaani ni sawa kusema hadharani kuwa mke wangu sio mzuri kama wa Fulani hadharani na huyo mke unae analeta watoto, anakupikia n. K
Hii sio hekima
3. Anashindwa ku manage timu
Kuna wachezaji anawaogopa majina,
Dube, Musonda, Mudathir wanapuyanga anashindwa kuwaweka benchi
Nilishangaa mechi ya kimaamuzi anashindwa kumtoa Musonda na Dube waliokuwa wanakimbia kama hawana vichwa
5. Anataka kuogopwa
Hajui kuishi na wachezaji kama Gamondi, Nabi au angalau kidogo muhindi Fadlu wa Simba
Nilishangaa siku amefika anasema hadharani kuwa hataki starehe Kwa wachezaji, hiyo ilikuwa sio kauli ya kusema hadharani
Angeibadilisha kambini taratibu
6. Hajiamini
Ni mwoga usoni, hajui ana falsafa Gani
Yaani mechi ya kimaamuzi unamwanzisha Musonda unamweka Pacome na Max bench
7. Saed Ramovic ana maneno kuzidi matendo
Aliona mike anabwabwaja tu bila kupima uzito wa kauli zake
Eng Hersi huu msimu nakiri wazi Kwa uweZo mdogo wa coach Saed Ramovic hatutapata ubingwa wa NBC pl
Uongozi ulizinguaNi aibu kwa timu yangu ya Yanga kumpa mkataba kocha ambaye hana CV ya kueleweka! Yaani hata mashindano tu ya Kimataifa, eti ndiyo mara yake ya kwanza kushiriki.
Kwa mtu wa aina hii, ni kichekesho kutegemea makubwa kutoka kwake.
Pole sanaTulia mrembo
InjuryHuaga najiuliza Maxi yupo wapi?