Saed Ramovic hawezi kuleta kikombe hata kimoja Yanga

Huyu kocha ni mzuri, angeanza na hii timu tangu mwanzo mwa msimu tungekuwa mbali.

Kama uamini vuta subira na ushuhudie.
 
Team zote mnazidhamini nyinyi halafu mnasema league haina ushindani.
 
Huyu kocha anatakiwa kupewa muda sana, huwezi kutegemea makubwa CAFCL kwa kocha ambaye hajawai kabisa kushiriki, halafu bahati mbaya msimu kaukuta umeanza
 
Saidi we saidi saidi we, ayeee saidi madobee anataka kumsola uyu yangaaa....
 
Ni aibu kwa timu yangu ya Yanga kumpa mkataba kocha ambaye hana CV ya kueleweka! Yaani hata mashindano tu ya Kimataifa, eti ndiyo mara yake ya kwanza kushiriki.

Kwa mtu wa aina hii, ni kichekesho kutegemea makubwa kutoka kwake.
 
Uongozi ulizingua
 
Muwe mnaandika jina lake vizuri, Ni Sead sio Saed! Waislam hamkawii kusema ni Saidi😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…