Tetesi: Saed Ramovic ndiyo kocha mpya wa Yanga


Timu haiwezi kuchezwa na mchezaji mmoja huyu kocha Ni muumini wa team work ndiyo maana wachezaji wote walikuwa Wana fighting spirit Alafu kwa kipindi like huyo pakome hakuwa na game fitness Kuna mchezo vs Al hilal omduman hakuwa kwenye pick hata mchezo vs Mazembe.


Alafu elewa kitu kimoja yanga anashiriki ligi kuu ya Tanzania kwahiyo nikikwambia saed ramovic ameshinda mechi6/6 za ligi kuu ukisema hizo timu hazina unabora itakuwa hauna akili unataka acheze na Madrid,psg au Bayern Munich au
 
Hadi sasa mashabiki wa Yanga wanamuona mleta mada kama ms.eng.e vileee. Mtu gani unakataa facts za waziwazi kabisa.

Nimecheka sana.
Mkuu anatuvuruga tu huyu na hizo tetesi zake ambazo zikitlwa kweli si nzuri vichwani kwetu.
 
Sawa mimi sina akili ni wewe na kiongozi wako pekee ndio mna akili. Tuupe muda utupe majibu kuhusu huyo kocha wenu Ramovic. Na sitaki tena unifuate PM kwa mahojiano, kwanzia sasa Kwasababu umeshasema sina akili. Niliongea kauli ya mwisho kwako kuhusu Manqoba kuwa tusubiri muda utatoa majibu na kweli jibu lilipatikana na hatimae mkashindwa kuvumilia mwenendo wa timu kiongozi wako akamtimua. Narudia tena kauli hii kwa Saed Ramovic kuwa sio kocha wa kuivusha Yanga. Nafunga mahojiano na wewe naacha muda utoe majibu.
 

GROUP STAGE? DONE! Yanga SC qualifies in style. No mercy, no fear. Timu ya Wananchi kwa ubabe!
 
Daah! Hivyo anakufuata huko kwa Prime Minister ili tu muendelee kubishana. Lol. 😅😅
 
Taarifa ya ndani kwa nn wamemrudisha inabaki siri yao viongoz, shabiki kazi yetu ni kushabikia au kuzomea pale timu inapofanya vibaya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…