Bookkeeping
Member
- Jun 6, 2025
- 75
- 169
Mpira sifuatiliagi Sana me Mambo yangu Mapenzi tu lakini mbona mtoa mada yupo smart Sana amewachambulia kila kitu
Wewe mpira hujui, sio siku nyingi ulikuwa unamsifia Manqoba kwa nyuzi mfululizo wakati watu tunashaona dalili mbaya tokea mechi na Gaborone na Geita ila wewe ulituona sisi hatujui mpira. Mechi na TRA ukaja kugeuka maneno kuwa Manqoba umeshindwa kumtetea. Ni wazi bado mchanga sana kwenye haya mambo ya uchambuzi wa mbinu na kiufundi. Au pengine umeletwa hapa utetee kwa kila wanachofanya viongozi wako. Muda utaongea kama nilivyokwambia kwa Manqoba narudia tena kwa huyu Saed Ramovic hamna kocha hapa wa kuipa Yanga mafanikioNa sadiki maneno ya kocha Emmanuel amunike aliposema Tanzania tunapenda mpira ila mpira hautupendi.inabidi ujiulize Kwanza kipindi Cha saed ramovic ligi ya mabingwa alikusanya Alama ngapi? Alikaa na timu muda gani?Alafu chukua Hao makocha wako Bora waliopita yanga kwenye ligi ya mabingwa walikusanya Alama ngapi na walikaa na timu kwa muda gani?.kila siku huwa na ongea mpira sio mahindi unabeba unapoelekea sokoni kibaigwa hapana football Ni project inaweza kuwa ya muda meefu au mfupi.unalalamika kuwa alishindwa kushinda mechi ya mwisho vs mc Alger .mc Alger hawakuwa wabovu Kama unavyofikiria.alafu kingine like kundi la kipindi kile Cha saed ramovic.halikuwa kundi jepesi kama unavyofikiria.
Tatizo lako wewe na baadhi ya mashabiki mnaitaka yanga iwe Bora Kama yanga ya Nabi na gamondi bila kujua nabi Alikaa na timu misimu miwili na kocha gamondi Alikaa na timu msimu mmoja.alafu unamkataa kocha ambaye ameka siku -90 tu na performance ilikuwa nzuri takwimu nimezitoa hapo.nakushauri usipende kutumia hisia kuliko uhalisia
Mkumbo wa nini sasa?Wewe unafuata mkumbo hebu nipe facts tatu zinazokufanya umkatae German machine saed ramovic
Wewe mpira hujui, sio siku nyingi ulikuwa unamsifia Manqoba kwa nyuzi mfululizo wakati watu tunashaona dalili mbaya tokea mechi na Gaborone na Geita ila wewe ulituona sisi hatujui mpira. Mechi na TRA ukaja kugeuka maneno kuwa Manqoba umeshindwa kumtetea. Ni wazi bado mchanga sana kwenye haya mambo ya uchambuzi wa mbinu na kiufundi. Au pengine umeletwa hapa utetee kwa kila wanachofanya viongozi wako. Muda utaongea kama nilivyokwambia kwa Manqoba narudia tena kwa huyu Saed Ramovic hamna kocha hapa wa kuipa Yanga mafanikio
Huyu yupo kwaajili ya kutetea anayofanya boss wake wake, alipoona boss wake kamtimua Manqoba akaacha kuleta uzi wa kumsifia Manqoba. Saivi boss wake kamleta failure mwingine anajitahidi kutuonesha boss wake kafanya maamuzi sahihi. Utafikiri mpira anaangalia yeye na boss wake pekee.Huo uhalisia uwe unaujua wewe tu.
Wewe hata Manqoba kipindi watu tunaojua mpira tunakwambia hafai na sio kocha mzuri kwa Yanga ulikataa kata kata.
Mpaka anakuja kufukuzwa ndio unakubali asingeivusha Yanga.
Tunawaambia tena said mnyamwezi sio kocha unashupaza shingo.
Ngoja shingo ivunjike ndio utaelewa.
Ndio maana nimemwambia kama sio Hersi mwenyewe basi atakuwa kibaraka wake wa karibu sana.Huyu yupo kwaajili ya kutetea anayofanya boss wake wake, alipoona boss wake kamtimua Manqoba akaacha kuleta uzi wa kumsifia Manqoba. Saivi boss wake kamleta failure mwingine anajitahidi kutuonesha boss wake kafanya maamuzi sahihi. Utafikiri mpira anaangalia yeye na boss wake pekee.
Chief mimi ni mtu wa mpira, na ukumbuke ulinifuata hadi PM kwaajili ya kutaka nikupe darasa kuhusu mpira katika angle ya kiufundi kuhisu Manqoba, nikakupa darasa plus maono ya nini kitakachotokea kama Yanga wataendelea na huyo Manqoba mwisho wa siku ulisadiki kwa kinywa chako baada ya mechi ya T.RA. Kuhusu mapungufu ya Saed Ramovic nimeshakupa huko juu na mifano kabisa. Hydroxo pia sasaivi amerudia kukupa ni kwanini tunamkataa huyo kocha aliyeletwa na boss wako.Kwenye siasa upo vizuri Ila facts huna nimekuuliza hayo maswali hujajibu hata moja.mimi kwenye porojo nimeshavuka huko lete facts nikijibu Mimi nikikuuliza unajibu Sasa unaleta porojo za kina manqoba tena
Chief mimi ni mtu wa mpira, na ukumbuke ulinifuata hadi PM kwaajili ya kutaka nikupe darasa kuhusu mpira katika angle ya kiufundi kuhisu Manqoba, nikakupa darasa plus maono ya nini kitakachotokea kama Yanga wataendelea na huyo Manqoba mwisho wa siku ulisadiki kwa kinywa chako baada ya mechi ya T.RA. Kuhusu mapungufu ya Saed Ramovic nimeshakupa huko juu na mifano kabisa. Hydroxo pia sasaivi amerudia kukupa ni kwanini tunamkataa huyo kocha aliyeletwa na boss wako.
Ndio maana nimemwambia kama sio Hersi mwenyewe basi atakuwa kibaraka wake wa karibu sana.
Yule kocha labda abadili wachezaji lakini kwa aina ya mpira wa Saed na wachezaji waliopo Yanga anatimuliwa mapema tu.
Kwamba hujasoma nilichokuwekea au unakurupuka kama kawaida yako?Nimekuambia nipe facts tatu zinazokufanya umkatae German machine saed ramovic hujanipa hata moja tatizo lako wewe Ni unafuata mkumbo sana
Ndio maana nimemwambia kama sio Hersi mwenyewe basi atakuwa kibaraka wake wa karibu sana.
Yule kocha labda abadili wachezaji lakini kwa aina ya mpira wa Saed na wachezaji waliopo Yanga anatimuliwa mapema tu.
Duuh mwalimu wako alipata tabu sana.Hizi ndy sababu zako
Jamaa aliwahi mtia Pacome Bench kwenye serious match ili Yanga ifuzu.Huo uhalisia uwe unaujua wewe tu.
Wewe hata Manqoba kipindi watu tunaojua mpira tunakwambia hafai na sio kocha mzuri kwa Yanga ulikataa kata kata.
Mpaka anakuja kufukuzwa ndio unakubali asingeivusha Yanga.
Tunawaambia tena said mnyamwezi sio kocha unashupaza shingo.
Ngoja shingo ivunjike ndio utaelewa.
Yule Miloud sujui yupo wapi, Nabi ana defensive game zaidi na kutegemea counters, napenda total football kama ya Gamondi.Chief mimi ni mtu wa mpira, na ukumbuke ulinifuata hadi PM kwaajili ya kutaka nikupe darasa kuhusu mpira katika angle ya kiufundi kuhisu Manqoba, nikakupa darasa plus maono ya nini kitakachotokea kama Yanga wataendelea na huyo Manqoba mwisho wa siku ulisadiki kwa kinywa chako baada ya mechi ya T.RA. Kuhusu mapungufu ya Saed Ramovic nimeshakupa huko juu na mifano kabisa. Hydroxo pia sasaivi amerudia kukupa ni kwanini tunamkataa huyo kocha aliyeletwa na boss wako.
Yupo Lebanon uko anakiwasha tu.Yule Miloud sujui yupo wapi
Saed Ramovic kaiongoza Yanga michezo 6 ya ligi kuu na mmoja wa FA. Vs Namungo, Kagera, Coppo, Dodoma, Mashujaa, prisons na Fountain gate. Je katika hizo timu unaiona timu ipi ilikuwa na ubora kulinganisha na wachezaji wa Yanga?Nimepita sababu zako za kumkataa kocha saed ramovic umesema
Kocha saed ramovic anpenda kupiga pasi nyingi Tena back pass daaaah
Kwa sababu hiyo tu nimejidhihiriahia kuwa mpira unaangalia kwa ushabiki Sana
Hivi Kama anapiga back pass Sana hayo magoli 33 kwenye mechi 13 kafungaje Sasa Kama alikuwa anapiga back pass nyingi mechi 6/6 za ligi kashinda zote . HIYO sabau yako Ni uongo unawadanganya Watu ambao hawajui mpira Kama hao wakina Hydroxo
Wakati saed ramovic alikuwa anakabia juu afanya high pressing kiufundi Ni turn over ndiyo maana alicheza mechi chache na kufunga magolinmengi kuliko makocha wote waliopita yanga
Kaniharibia siku 😃Hahahaa. Hivyo amekupa Ukolo eeh?