kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 411
- 445
- Thread starter
- #101
Maslahi huku anawaumiza?
Kulikuwa na haja gani ya azizi ki kurudi yanga?
Hakuna haja ya kumrudisha huyo kocha watafute mwingine.
Jamaa mgumu kuelewa duu kweli mjinga wewe
Maslahi huku anawaumiza?
Kulikuwa na haja gani ya azizi ki kurudi yanga?
Hakuna haja ya kumrudisha huyo kocha watafute mwingine.
Hujui mpira, Saed Ramovic ni bonge la kochaKosa kubwa viongozi wa Yanga wamefanya.
Kwanza siyo kocha bora mashindano ya kimataifa (CFCL).
Pili alituacha kifedhuli sana wakati mbaya kwenye msimu.
Tatu inaendana na nambari moja, Timu yake inakuwa siyo nzuri defensive.
Anafundisha Gengenpressing ambayo inaacha timu yake dhaifu kiulinzi ikipoteza mpira na kufanyiwa counterattack.
Yanga haina wachezaji wenye nidhamu ya kujilinda wakiwa wamepanda juu kushambulia.
of course.Jamaa mgumu kuelewa duu kweli mjinga wewe
Kwa hio tumependelewa kuwa ligi ya tano?Duuh huyu kocha aliongea ukweli sio nyodo alisema ligi ya Tanzania hatupaswi kuwa ligi ya tano kwa ubora Ni ligi ya kawaida tu kitu ambacho Ni Cha kweli kabisa
Wewe una matatizo ya kusifia vibovu. Huyu hamna kocha hapo, Yanga ihesabie kupoteza mataji na kushika mkia klabu bingwa ama kuwa wa pili kutoka mwisho. Hana uwezo wa kuirudisha Yanga katika form kwa muda mfupi.Mbona kocha mzuri huyu
Hersi naye inafika mahali anakuwa mpuuzi fulani! Hivi hapa tulipo bado Sisi ni wa kuokoteza makocha?Huyu si ndo aliondoka Kwa nyodo na kusema kuwa ligi yetu. NI dhaifu haifai kuwa namba Tano Africa,kweli nimeamini msemo WA Haji Manara Yanga Wenye akili NI wawili tu
Hersi naye inafika mahali anakuwa mpuuzi fulani! Hivi hapa tulipo bado Sisi ni wa kuokoteza makocha?
Wewe una matatizo ya kusifia vibovu. Huyu hamna kocha hapo, Yanga ihesabie kupoteza mataji na kushika mkia klabu bingwa ama kuwa wa pili kutoka mwisho. Hana uwezo wa kuirudisha Yanga katika form kwa muda mfupi.
Kwa hio tumependelewa kuwa ligi ya tano?
Hivi mkuu haujatambua tu kuwa hujui kuangalia mpira kwa jicho la kiufundi? Una hadaika sana na matokeo badala ya kuangalia mambo ya mbinu na ufundi. Kipindi cha Saed Ramovic, Yanga ilikuwa katika kundi lenye timu za kawaida sana, Yanga haiku staili kushindwa kufuzu robo fainali lakini huyo Ramovic kashindwa kuchanga karata zake ipasavyo ili kuifanya Yanga ifuzu.Tatizo letu sisi mashabiki muda mwingi tunatumia hisia kuliko uhalisia nilishawahi kusema hapa makocha wangu Bora kwenye ardhi hii ni watatu tu George luandaamina, Hans van de plujim na huyu mwamba saed ramovic
Ngoja nikupe facts za huyu mwamba saed ramovic alikuja yanga alikaa muda mfupi tu na kuiongoza yanga kwenye mechi 13,mechi 6 Ni za ligi kuu ambazo alishinda zote 100%,ligi ya mabingwa mechi 6 alishinda 2,share,2alifungwa mechi 2 pia sawa na 33.3% ushindi sare na kufungwa.mechi moja Ni ya kombe la shilikisho CRDB kwenye hizo mechi 13 alifunga magoli 33 na kuruhusu magoli 8huku clean sheets 6 unasemaje kocha mbaya Sasa
NB:wanasayansi walifanya utafiti wakagundua kuwa kwenye uongozi wa huyu kocha ndiyo kipindi ambacho mashabiki wa yanga walikuwa na furaha
Niseme tu.Tatizo letu sisi mashabiki muda mwingi tunatumia hisia kuliko uhalisia nilishawahi kusema hapa makocha wangu Bora kwenye ardhi hii ni watatu tu George luandaamina, Hans van de plujim na huyu mwamba saed ramovic
Ngoja nikupe facts za huyu mwamba saed ramovic alikuja yanga alikaa muda mfupi tu na kuiongoza yanga kwenye mechi 13,mechi 6 Ni za ligi kuu ambazo alishinda zote 100%,ligi ya mabingwa mechi 6 alishinda 2,share,2alifungwa mechi 2 pia sawa na 33.3% ushindi sare na kufungwa.mechi moja Ni ya kombe la shilikisho CRDB kwenye hizo mechi 13 alifunga magoli 33 na kuruhusu magoli 8huku clean sheets 6 unasemaje kocha mbaya Sasa
NB:wanasayansi walifanya utafiti wakagundua kuwa kwenye uongozi wa huyu kocha ndiyo kipindi ambacho mashabiki wa yanga walikuwa na furaha
Hahahaa. Hivyo amekupa Ukolo eeh?Wewe mgeni humu.
Shabiki wa mpira humu tunajuana.
Mimi shabiki wa Yanga.
Wauliuze akina Its Pancho , ngara23 , Shadeeya , Kalpana na wengine wengi
Hivi mkuu haujatambua tu kuwa hujui kuangalia mpira kwa jicho la kiufundi? Una hadaika sana na matokeo badala ya kuangalia mambo ya mbinu na ufundi. Kipindi cha Saed Ramovic, Yanga ilikuwa katika kundi lenye timu za kawaida sana, Yanga haiku staili kushindwa kufuzu robo fainali lakini huyo Ramovic kashindwa kuchanga karata zake ipasavyo ili kuifanya Yanga ifuzu.
Leo hii Yanga ipo kwenye kundi gumu zaidi ya ile aliyokuta ndiyo mtegemee ataiweza kuifanya Yanga ifuzu?
Aliondoka na kuidhihaki ligi yetu kuwa haina intensity, vipi kwasasa intensity imeshapatikana?
Mpira wake ulikuwa ni wa pasi nyingi tena ni back pass na hakuweza kuifungua timu inayojilinda kwasababu hana mbinu mbadala, na ndio maana mechi ya mwisho tupo nyumbani tunahitaji goli moja tu lakini kashindwa.
Hamna koccha hapo walichokifanya viongozi ni kuonesha wameishiwa uwezo wao wa kufikiri.
Niseme tu.
Huujui mpira.
Wewe kama sio Hersi mwenyewe basi kibaraka wake wa karibu sana.
Huyo Saidi wako akija lazima atimuliwe nakuhakikishia.
Huo uhalisia uwe unaujua wewe tu.Tatizo unatumia hisia kuliko uhalisia
Huo uhalisia uwe unaujua wewe tu.
Wewe hata Manqoba kipindi watu tunaojua mpira tunakwambia hafai na sio kocha mzuri kwa Yanga ulikataa kata kata.
Mpaka anakuja kufukuzwa ndio unakubali asingeivusha Yanga.
Tunawaambia tena said mnyamwezi sio kocha unashupaza shingo.
Ngoja shingo ivunjike ndio utaelewa.
Tutafika tukiwa tumechoka sana!!