Tetesi: Saed Ramovic ndiyo kocha mpya wa Yanga

Tetesi: Saed Ramovic ndiyo kocha mpya wa Yanga

Acha uongo hatukua na gusa achia yoyote.

Hiyo gusa achia yako mbona sijaiona na MC Alger?

Matokeo yake tukashindwa kupata goli moja tu.

kocha kukosea mechi haimanishi Ni mbaya Mbona kocha wako Bora nabi nasreedine hakutupa ubingwa wa kombe la shilikisho
 
"Nilisema Simba atamfunga yanga goli 7-0, nimebadilisha. Kwa huyu kocha Yanga atakula goli kumi" Heavyweight Dullah.
 
Mbona anajua au kutolewa imekua shida mkuu😅
Anajua wapi yule alianza kuwaweka bench wachezaji wazuri na alimchukua yule mreno mwenzie acheze na kuwaacha watu bora angekua anajua angekua na Timu ya ushindani sio ya kutoka hizo hatua..
 
Ana ubingwa wa Caf lakini 🤔
Mamelodi walitaka kumuondoa msimu uliopita wakaona wapo kwenye CAF hatua za mwishoni wasije kujichanganya kwa sababu alifanya makosa ya kulikosa kombe la ligi kwa kuwaacha wachezaji huku akisafiri na kikosi kidogo hata mechi za fainal ilikua inashambuliwa sana walishukuru kubeba tofauti na timu kabla yake.
 
Dah wamrudishe tu pitso , naona maamuzi yake ya kumpiga benchi themba zwane mashabiki wengi wanalalamika mno , ila umri na kazi ngumu sana hasa kwa umri wa 37 kwenye mpira🤔 lazima damu changa zipate nafasi na uvumilivu wa kusuka kikosi upya ulihitajika tu
 
Back
Top Bottom