Tetesi: Saed Ramovic ndiyo kocha mpya wa Yanga

We jamaa mbona muongo Sana Ile gusa ACHIA TWENDE KWAO ilikuwa inonekana uwanjani kabisaa na timu ilikuwa inashambulia kwa Kasi sana inakabia juu(turnover)
Acha uongo hatukua na gusa achia yoyote.

Hiyo gusa achia yako mbona sijaiona na MC Alger?

Matokeo yake tukashindwa kupata goli moja tu.
 
Afrika ina makocha wengi. Siyo lazima ije hiyo takataka.

Ngoja nikupe elimu kidogo Tate Mkuu unavyomchukua kocha aje kwenye timu yako sio Kama unchukua mahindi unapoelekea sokoni kibaigwa hapana lazima umchukue kocha anayeendana na falsafa zako,mwenye project, experience ya mashindano husika,zingatia FALSAFA ya timu
 
Nataka nikuthibitishie! Huyu kocha wako unayempigia chapuo hana sifa ya kuitoa Yanga kutoka hapa ilipo. Yanga inamhitaji kocha makini wa kuipatia timu matokeo makubwa ndani ya muda mfupi.
 
Daah Ila watanzania yaani sababu ya kumkataa kocha mzuri eti aliongea nyodo
 
Back
Top Bottom