Tetesi: Saed Ramovic ndiyo kocha mpya wa Yanga

Tetesi: Saed Ramovic ndiyo kocha mpya wa Yanga

Dah wamrudishe tu pitso , naona maamuzi yake ya kumpiga benchi themba zwane mashabiki wengi wanalalamika mno , ila umri na kazi ngumu sana hasa kwa umri wa 37 kwenye mpirašŸ¤” lazima damu changa zipate nafasi na uvumilivu wa kusuka kikosi upya ulihitajika tu
Anacheza Nuno Santos anakaa bencji Allende sio Zwane..
 
Dah wamrudishe tu pitso , naona maamuzi yake ya kumpiga benchi themba zwane mashabiki wengi wanalalamika mno , ila umri na kazi ngumu sana hasa kwa umri wa 37 kwenye mpirašŸ¤” lazima damu changa zipate nafasi na uvumilivu wa kusuka kikosi upya ulihitajika tu
Pitso kapewa Timu yao ya Taifa
 
Alishindwa kutupeleka robo fainali tena game ya mwisho tulikua nyumbani. Kituko eti pacome alianzia benchi. Kweli game ya muhimu wachezaji wako bora unawaachaje nje
Ila jamaa anajua kutupia code, huenda ndo mtafurahia mavazi yake.. Na wanakuja huku kupata fame tu alaf wakishatambulika na Vila u vikubwa wanawaachia timu yenu
 
Makocha wenye sifa ya kurudi Yanga kwa sasa ni wawili; Miloud Hamdi na Nasreddine Nabi. The rest ni takataka tu.

Mimi naamini uongozi utatafuta kocha mpya na mwenye CV kubwa kwenye soka la Afrika badala ya kuendelea na utaratibu wao wa kuokoteza makapi na watu wa kuja kuboreshaa CV zao.
Mpira wa Nabi ulikuwa wa ukabaji sana, walau tuseme huyo Miloud.
 
Kwani wanashindwa nini kumrudisha Gamondi hata kwa mda tu, ili mradi tu awahakikishie atazibiti nidhamu ya wachezaji.
 
Kwani wanashindwa nini kumrudisha Gamondi hata kwa mda tu, ili mradi tu awahakikishie atazibiti nidhamu ya wachezaji.

Master gamondi sio mzuri kwenye nidhamu kwenye utawala wake ndiyo nidhamu ilikuwa chini huyo saed ramovic Ni full package coach
 
Ikawaje huko?
Bado mnamuamini?
Kwa hyo akirudi akapata tena ofa Nzuri ataondoka.

Ngoja nikupe elimu kidogo hapa duniani yupo kimaslahi sio manufaa ya timu ndiyo maana kocha wako fadlu Davids alipata ofa raja Casablanca akaondoka Hilo Ni Jambo la kawaida kwenye football business
 
Ngoja nikupe elimu kidogo hapa duniani yupo kimaslahi sio manufaa ya timu ndiyo maana kocha wako fadlu Davids alipata ofa raja Casablanca akaondoka Hilo Ni Jambo la kawaida kwenye football business
Msaliti ni msaliti.
Hata chama mwenyewe binafsi yangu sijapenda kurudi Kwake Simba.
KOSA LA USALITI MIMI UWA SISAMEHI
 
Moja ya Wagogo wa hovyo kuwahi kutokea duniani baada ya Ndugai basi ni wewe kibaigwa finest!

Huyo mtu mwenyewe unayempigia chapuo aliondoka Yanga kwa nyodo! Huoni akirejeshwa mashabiki tutamfukuzisha ndani ya muda mfupi?
šŸ˜‚šŸ˜‚ yawezekana ndiyo chaguo la Heris maana yule akiamua hakuna wa kupinga pale Yanga
 
Back
Top Bottom