Safari 1- 4 Yanga

Huyu kioa wa Yanga makosa mengi mara ya pili anatoa pasi bila kuangalia inaenda kwa adui
 
Hivi ukiuliza hii timu ya safari ni kutoka Ligi daraja la ngapi, utajibiwa nn?
Safari ndo kina Nani.? Lager.?
Mashindano ya ndondo?
Safari lager kumbe wana timu?Inacheza ligi gani?
Sisikilizi vipindi vya michezo siku hizi naomba mwenye kujua anijibu
Ni timu ya wachezaji mkosanyiko kutoka mikoa kadhaa waliochujwa ktk michujo yao wakapata timu ..ni promo ya bia yao naona...timu yao ilikua na makocha kama Sekilojo Chambua na Jamhuri Kiwelo
 
Ni timu ya wachezaji mkosanyiko kutoka mikoa kadhaa waliochujwa ktk michujo yao wakapata timu ..ni promo ya bia yao naona...timu yao ilikua na makocha kama Sekilojo Chambua na Jamhuri Kiwelo

Ahaa, Kumbe walevi Waliochangamka kidogo Wa Safari Lager Wenye unafuu kdg Kusukuma Kabumbu...!
Umeeleweka!
 
Moderator game ishaisha hii ondoa live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…