Safari hii Yanga atuendi bungeni naona wabunge watatuchoka kila mwaka

Safari hii Yanga atuendi bungeni naona wabunge watatuchoka kila mwaka

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Najua mtatuchoka lakini hakuna jinsi ndio Yanga tamu

Tunaomba tukicheza na Dodoma tualikwe hata nje tu bungen tupate chai na spika na pongezi zenu
 
Team Ina mengi ya kufanya sioni haja ya wao kwenda kwenye bunge la ccm
 
Najua mtatuchoka lakini hakuna jinsi ndio Yanga tamu

Tunaomba tukicheza na Dodoma tualikwe hata nje tu bungen tupate chai na spika na pongezi zenu
Awamu hii tunaenda kwa Mr.moscowvischt kukakague vifaa vya vita msimu unaofuata pale St.Pertersburg 🤣
 
Sasa waliochukua misimu minne mfululizo je?
 
Back
Top Bottom