Safari Lager Vs Kilimanjaro

Safari lager

Sijawahi kunywa bia zaidi ya safari lager

Sema kadri miaka inavyozidi kwenda ladha inazidi badilika

Zamani bia ukimimina unaona mpaka chembechembe za shairi

Ova
 
Safari lager

Sijawahi kunywa bia zaidi ya safari lager

Sema kadri miaka inavyozidi kwenda ladha inazidi badilika

Zamani bia ukimimina unaona mpaka chembechembe za shairi

Ova
mkuu umeongea ukweli kuna ka harufu flani kazuri ka safari ya miaka ile ya 1990 kamepotea ilikua ukinywa ya moto kama inapalia puani hivi safi sana
 
Safari Lager.

Mwamba wa Miamba, Mkongwe wa Wakongwe.

Safari moja huanzisha nyingine...
Ebwanaeee wewe tuko pamoja binafsi safari ndiyo the first ila nikiikosa kidoogo ndo naanza kuitamani tamani kilimanjaro au bia zingine ila ikiwepo safari tu bhaaaaaaas mzee baba nasafiri nayo kwa ustadi wa hali ya juu sana
 
Safari lager

Sijawahi kunywa bia zaidi ya safari lager

Sema kadri miaka inavyozidi kwenda ladha inazidi badilika

Zamani bia ukimimina unaona mpaka chembechembe za shairi

Ova
Ewaaaaah wewe unaizungumzia ile safari tulikuwa tunaita Buyu a.k.a Chuma chakavu sijui kwingine walikuwa wanaiitaje. Ilikuwa noma sana ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…