mbari sa menya
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,002
- 1,891
Bila kusahau plisner lager, bia za wastaafuMkuu umetuonea sana watu wa balimi kwa kushindwa kutambua uwepo wetu[emoji20]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusahau plisner lager, bia za wastaafuMkuu umetuonea sana watu wa balimi kwa kushindwa kutambua uwepo wetu[emoji20]
Safari ndogo, hakika mkuuWanasema iyo Kirikuuu ni nzur san
Aisee safari ni Beer la maBeer,Wasalaaaam wazee...... Hii battle nani anashinda!!!!!!??
View attachment 2221737
View attachment 2221738
[emoji23][emoji23][emoji23]Kilimanjaro ya baridiiiiiii...
Safari bia za walimu wa darasa la pili c
Acha uongoSafari Baridi ndio beer. Kilimanjaro inaua power Bank. You'll thank me later
Kwenye uzi wa wanywa Savannah [emoji23][emoji23]Sisi kizazi wa cha Serengeti Lite tunatakiwa kukoment wapi?
Mzee Marijani Rajabu(RIP) na Zuchu wapi na wapi.Wasalaaaam wazee...... Hii battle nani anashinda!!!!!!??
View attachment 2221737
View attachment 2221738
Bia nyingi siku hizi zimatengenezwa na ule mtama mweupe sio ngano tena ndio maana radha zinabadilikaYule mzee aliyekua anapika zile safari za miaka ya 90 sijui atakua amestaafu kaondoka na formula yake manake zilikua tamu sana hapa nimemeza na mate