Safari Lager Vs Kilimanjaro

Hii vita ya yukreini imeathiri hadi ladha ya bia, maana baada ya kuadimika ngano watalazimika kutumia pumba za mahindi na mtama.....yaani bia inakuwa na ladha kama ya chibuku, chimpumu au ndume.
 
Yule mzee aliyekua anapika zile safari za miaka ya 90 sijui atakua amestaafu kaondoka na formula yake manake zilikua tamu sana hapa nimemeza na mate
yule alikuwa fundi haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…