Sio watu wote wana ajira kama wewe hapa Tz.. wengine bila ya kusafiri hawana kipato chochote kaka.. wengine ni wagonjwa wanakwenda kutibiwa.. wengine ni wafunzi wanarudi vyuoni etc. Wengine wana biashara zao nje ya nchiNa corona yote hii mnasafiri-safiri nje ya nchi ili iweje, si mkae kijijini mlime tuuze mazao , kuna njaa tuliambiwa inakuja🤣🐒🤸
Hata ajira yenyewe sina, nafanya kusogeza siku mbele, nikibet mkeka ukakubali nazungusha hela huku na kule maisha yanakwenda hivyo hivyo.Sio watu wote wana ajira kama wewe hapa Tz.. wengine bila ya kusafiri hawana kipato chochote kaka.. wengine ni wagonjwa wanakwenda kutibiwa.. wengine ni wafunzi wanarudi vyuoni etc. Wengine wana biashara zao nje ya nchi
Analalamikia gharama.Nyie bana...
Si mlisema serikali sio wakali kwenye mapambano ya corona.
Sasa hivi wameweka ma vipimo kila ukitoka,ukiingia,ukijikuna etc eti mnalalamika.
Hii nchi ukishaonekana una gari au unataka kusafiri nje, wanajua una hela. Full vikwazo.
Sawa mkuuNdio wameweka kiwango hicho na mtakilipa acheni kulia lia
Mkuu usikate tamaa, jitupe hata botwasna hapo au SingaporeHata ajira yenyewe sina, nafanya kusogeza siku mbele, nikibet mkeka ukakubali nazungusha hela huku na kule maisha yanakwenda hivyo hivyo.
Huko aisee nawaachia vijana, najua nipo kwenye mkwamo wa muda tu, ni mambo tu yaliingiliana na kunipeleka nilipo ila cha muhimu ni kusogeza ziku mbele kwanza huku najipanga.Mkuu usikate tamaa, jitupe hata botwasna hapo au Singapore
Naongea kwa uzoefu mkuu sii kwa nadhariaMajibu ndani ya masaa 24 ni uongo mtupu, ukipimia hospital yoyote Dar es salaam, hadi wapeleke samples maabara ya Taifa mabibo ni masaa 24 tayari yamekatika, kuja kupata majibu ni 48hrs na kuendelea, vivyo hivyo kwa mtaani. Nimeona baadhi ya watu wakilia sababu ya safari zao kugoma sababu ya kuchelewa kupata majibu. Bahati nzuri nimefanya same process Kenya, ipo very fast, convenient & cheap.
Mzee mimi nimesafiri mara nyingi tangu hiyo mwaka jana ambapo tulikuwa tunalipa 40k Tsh hadi saivi tunalipa 230k pale Mabibo Maabara kuu, mwaka jana majibu officially ilikuwa ni 48hrs na hata hiyo 48 hrs kupata ilikuwa ni kwa tabu, wasafiri wa mara nyingi waliishia ku forge vyeti au kutoa rushwa pale Mabibo ila wapate mapema.Naongea kwa uzoefu mkuu sii kwa nadharia
Walio safiri toka mwaka jana mwishoni watalishuhudia hili (hata kwenye nchi za wenzetu majibu ni ndani ya saa 24)
Sihitaji kutumia nguvu nyingi kukushawishi