Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Unaweza kukuta kapata kazi na u bosi kapewa! inategemea na aloipokea barua ameionaje na uwezo wa uelewa wake!kwani alipata kazi au?
Wanafunzi wa miaka hii wanapenda njia za mkato. "Twishen" kwa sana! Ukiwapa vitabu vya kiada (textbooks), unapoteza pesa tu kwani hawavihitaji. Wanapenda kutafuniwa na kulishwa -- wao wameze tu!
Wanasoma ili tu wapate vyeti. Wanapenda kujua Kiingereza lkn hawapendi kujifunza! Funny! Wanataka kufika peponi lkn hawataki kufa!
Kuandika tu barua ya maombi ndio hawezi ila ana kipaji cha utangazaji mwenzenu, mkuu ungeweka na chuo ili kisaidie wengine wasije kukosea njia wakaingia hapo.
Hapana bwana sifongo, sidhani kama chuoni mtu ndo anaenda kujifunza lugha!
Elimu ya lugha mtu hujifunza awapo level za chini za shule. Vyuoni watu huenda kupata ujuzi zaidi wa kazi..
Ni kweli bwana mkubwa lakini amepataje vyeti ikiwa lugha ya kujifunzia hakuwa anailewa vizuri? hembu tuchukulie ndio amepata hiyo kazi tayari na ikatokea anatakiwa amfanyie mtu interview kwa lugha hiyo aliyoboronga itakuwaje?
hahhahhaaa.jamaa gani wa clouds huyo????maana kituo kina watu wana mbwembwe balaaa....Utakuta kuandika hawezi lakini ana maneno!!!! Kama yule jamaa yetu wa Clouds!
mwaJ Nafikiri tatizo ni mfumo wetu wa kuchagua wenye low scores ndo wawe Walimu. Mwalimu mwingine hisabati au maarifa vinampiga chenga,atawezaje fundisha mwingine amwelewe? Igawaje waalimu wazuri wapo, tena wazuri hasa.
hez the owner of dat xul
hahhahhaaa.jamaa gani wa clouds huyo????maana kituo kina watu wana mbwembwe balaaa....
Kijana ana maarifa ya kutosha tu, kingereza siyo ujuzi na lugha tu ya kutolea ujuzi. Wengine huku nao wamekuwa malimbukeni wa lugha, wanashabikia vya wenzao na kuvitukuza utadhani mazuzu. Hamasisheni kiswahili kitumike vizuri watu wapate maarifa kwa lugha ya kiswahili, Wengine kingereza hawakijui wala kiswahili hawakijui
Kijana ana maarifa ya kutosha tu, kingereza siyo ujuzi na lugha tu ya kutolea ujuzi. Wengine huku nao wamekuwa malimbukeni wa lugha, wanashabikia vya wenzao na kuvitukuza utadhani mazuzu. Hamasisheni kiswahili kitumike vizuri watu wapate maarifa kwa lugha ya kiswahili, Wengine kingereza hawakijui wala kiswahili hawakijui