Safari ni ndefu. Angalia Barua hii

mwaj nafikiri tatizo ni mfumo wetu wa kuchagua wenye low scores ndo wawe walimu. Mwalimu mwingine hisabati au maarifa vinampiga chenga,atawezaje fundisha mwingine amwelewe? Igawaje waalimu wazuri wapo, tena wazuri hasa.
kweli kabisa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…