daby mouser
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 206
- 73
watu kama hawa wanakuwa wazuri sana kwenye kuchapa kazi
kula like
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu kama hawa wanakuwa wazuri sana kwenye kuchapa kazi
kweli kabisamwaj nafikiri tatizo ni mfumo wetu wa kuchagua wenye low scores ndo wawe walimu. Mwalimu mwingine hisabati au maarifa vinampiga chenga,atawezaje fundisha mwingine amwelewe? Igawaje waalimu wazuri wapo, tena wazuri hasa.