Si ungeweka namba wakutumie? Au hujui watu wanalimda privacy zao?Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika bwana, nanyi pia ni wazima tumejaliwa uhai siku hii pia tumeiona,
Ndugu zangu baada ya kusema hayo tu niseme nipo katika changamoto Moja Sina namna Wala jinsi Sina mishe nauguliwa nipo na mgonjwa naomba msaada wenu angalau sh elfu kumi tu itaniokoa sana na kunipa nguvu mpya ya kuimaliza siku hii,
Sina mengi naomba tu niishie hapa Asante kwa mwenye maswali nipo tayari kujibu
Sawa mkuu nimekuelewa namba yangu ni hii 0788258979Si ungeweka namba wakutumie? Au hujui watu wanalimda privacy zao?
Jf imebadilika sana kipindi hiki, watu hawafatilii tena shida za watu. Wengi washasaidiwa wakaharibu humu. Wewe chagua watu wako wanne wafate inbox wakague post zao za nyuma then do. Watakaowiwa watakusaidia. Ila usitegemee sana humuNipo tayari kujibu maswali yoyote kwenye mashaka