Safari: Nipo Ifakara, kesho nakuja Dar na Pikipiki BAJA 250 kupitia Mbuga ya Mikumi

Safari: Nipo Ifakara, kesho nakuja Dar na Pikipiki BAJA 250 kupitia Mbuga ya Mikumi

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Mmehabarikaje Wandugu,Wasakatonge,
Kesho kukipambazuka nitajongea mdogo mdogo na Ndama Wangu {BAJA 250}kwa fundi ili akampime huyu kiumbe atakuwa anatatizo lolote lipatiwe ufumbuz mapema,aije akanigomea ndani ya mbuga na nimpe service za kutosha kwan kesho hio hyo Mda ule ule,usafiri ule ule ,dereva yule yule ,barabara ile ile ya MBUGA YA MIKUMI natoboa tundu pale hadi DAR ,Washikadau wenye roho nzuri wamenishauri nipite jioni jion wakat huo wanyama wote washawinda na kupata misosi yao ya siku sasa wanajiandaa kwenda kulala nami nasema nitapita kuanzia saa 12 jioni nitakua pale DAR kwa mapunziko kidogo
OMBI:
Nina Salio la kutosha mfukon anaefaham hotel nzuri DAR anielekeze niweze kufikia nisihangaike
 
milaba minne haahahaha pole aiseeee pandisha mnyama kwenye roli. au pita taarifa zako ntazisoma tena
 
Mmehabarikaje Wandugu,Wasakatonge,
Kesho kukipambazuka nitajongea mdogo mdogo na Ndama Wangu {BAJA 250}kwa fundi ili akampime huyu kiumbe atakuwa anatatizo lolote lipatiwe ufumbuz mapema,aije akanigomea ndani ya mbuga na nimpe service za kutosha kwan kesho hio hyo Mda ule ule,usafiri ule ule ,dereva yule yule ,barabara ile ile ya MBUGA YA MIKUMI natoboa tundu pale hadi DAR ,Washikadau wenye roho nzuri wamenishauri nipite jioni jion wakat huo wanyama wote washawinda na kupata misosi yao ya siku sasa wanajiandaa kwenda kulala nami nasema nitapita kuanzia saa 12 jioni nitakua pale DAR kwa mapunziko kidogo
OMBI:
Nina Salio la kutosha mfukon anaefaham hotel nzuri DAR anielekeze niweze kufikia nisihangaike

Mtu wa miraba ifa sehemu gani upo nikupe ushauri mzuri hapo
 
Landmark hotel kapumzike pale ukishindwa kwa mbele yake kuna kinyaiya pub kuna lodge nzuri tu kwa 20000/=
 
sleeping.gif
 
Nipo IFAKARA huku nina wiki 3 nawaza nitakujaje ila kesho natoboa tundu MIKUMI N PARKS kuja DAR
 
Nimetoka kwa fundi Mashine ipo tayari kwa kuchanja mbuga nipo full tank safari saa 11:30 kukiwa kumepoa navizia mda magari hakuna ili nikinyooka na road na 150 cha mbele halali yangu yaan nataka by saa 2 niwe Dar napata 1,2,3
 
Umefikia wapi ?

Je na ile safari yako ya mwanzo haukupatwa na dhoruba lolote kutoka kwa mfalme Wa nyika
 
huyu jamaa nasikia aliliwa na simba mikumi
 
Mabadiliko ya JF yamepoteza watu wengi sijui chuma hiki kimepotelea wapi?yaani ukimsoma huyu matope k for real burdan tosha.
 
Back
Top Bottom