Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Uzi huu hauna maana kuharibu biashara ya mtu yoyote.
Kwa sasa biashara ni ushindani haiwezekani kuna shida tubung'ae kama mazombi.
Kinyerezi imefunguliwa casino. Lazima mfanyabiashara uwe na customer servece nzuri. Hawa mabintinwa safari pub Kinyerezi mwisho upande wa jikoni hawafai kuwepo. Tunakereka sana unaomba huduma ya kusikilizwa muhudumu anapepea tu.
Muhusika wa jikoni safari acha upuuzi, weka wagudumu wasikivu. Achana na haya maku*ma yameniudhi sana