Safari pub ni uwozo. Wahudumu jikoni ni wapumbavu

Mods mnaruhusuje watu kuattack biashaza za watu bila ushahidi wowote ktk jukwaa hili? Mbona vya serikali mnamoderate?
 
Watongoze uone mambo chap chap
 
Wanajiona na kujisikia sana🤬🤬🤬🤬🤬
 
Bongo tunajitahidi kiasi.njoo nchi za kusini mwa tanzania usipo enda counter,hutamuona mtu akija kukusikiliza utakaa kama picha.
 
...Mkuu, Inaelekea wamekuufha Sana! [emoji26]...Pole Sana...
 
Kwanini ujiumize kwenda hapo
Badili chimbo
Mwache na wahudumu wake haooo

Ova
 
Hatujaumbwa kukimbia tatizo, Bali kutatua!!!
 
Chakula chanmzeee usinwaribiee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…