Safari siyo kifo.......Babu DC !!

Safari siyo kifo.......Babu DC !!

TF toka atoke asubuhi hajarudi, Teamo alirudi kunywa chai hajarudi tena ,Maty hata chai hajanywa, AD kaomba BAN, Rose kaenda kwa shangazi gongo la mboto, Musinga anarudi kesho alikuwa morogoro, MJ1 nimemwona asubuhi alivyoamka , Judith nimemwona kule mtaa wa pili anacheza, BE ndo umeniua kabisa tangu nirudi namtafuta simpati kabisa mpaka nimechanganyikiwa.

Nyamayao nilikuwa nae sasa hivi tu alikuwa kwa mama wa kambo, Asprin alikuwepo asubuhi mahali fulani anazimua na mama wa kambo

Wambie watamuua babu kwa kukaa kimya!!
 
Huyu babu DC ndio nani?
Namsikia sikia tu.

Usiwe na shaka dada,

Badu karudi unamfahamu soon...Ila unaweza kupata contacts za bibi akupe details zake zaidi au vipi?
 
Hivi form za kuombea U-Babu zinapatikana wapi?
 
Hivi form za kuombea U-Babu zinapatikana wapi?

Wala huna haja ya kuchukua fomu wala kutangaza nia...utakuja wenyewe! Unadhani wenye mvi na vipara wanatakiwa kuama wangekubali kuwa navyo?
 
Babu habari za asubuhi mpwa wako sijambo mzima kabisa niko kwenye mihangahiko ya kununua mbegu za mahindi kwa ajili ya msimu huu
 
Babu habari za asubuhi mpwa wako sijambo mzima kabisa niko kwenye mihangahiko ya kununua mbegu za mahindi kwa ajili ya msimu huu

Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, safi sana kajukuu....Hebu basi mueleze Babu.....Mambo yanakwendaje?

Usalama umekuwepo toka aondoke?

See u soon,

Babu DC.
 
Babu habari za asubuhi mpwa wako sijambo mzima kabisa niko kwenye mihangahiko ya kununua mbegu za mahindi kwa ajili ya msimu huu

Ndo maana nakupenda mkwe wangu ...yaani hapa mwanangu halali njaa hata siku moja kijana unasoma sana nyakati
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, safi sana kajukuu....Hebu basi mueleze Babu.....Mambo yanakwendaje?

Usalama umekuwepo toka aondoke?

See u soon,

Babu DC.
Mambo yanaenda vizuri babu,babu mwenzako asprin hajambo mzima kabisa ila bado hajaacha mchezo wake wa kujilimbikizia wajukuu.
 
Karibu tena babu DC, tulikumiss sana hasa yule babu mwingine alipozidisha micharuko,,lol
 
Back
Top Bottom