TF toka atoke asubuhi hajarudi, Teamo alirudi kunywa chai hajarudi tena ,Maty hata chai hajanywa, AD kaomba BAN, Rose kaenda kwa shangazi gongo la mboto, Musinga anarudi kesho alikuwa morogoro, MJ1 nimemwona asubuhi alivyoamka , Judith nimemwona kule mtaa wa pili anacheza, BE ndo umeniua kabisa tangu nirudi namtafuta simpati kabisa mpaka nimechanganyikiwa.
Nyamayao nilikuwa nae sasa hivi tu alikuwa kwa mama wa kambo, Asprin alikuwepo asubuhi mahali fulani anazimua na mama wa kambo
Nilikua nafikiri kuna mirathi hapa....
Wambie watamuua babu kwa kukaa kimya!!
bibi mke wa babu eeh?Usiwe na shaka dada,
Badu karudi unamfahamu soon...Ila unaweza kupata contacts za bibi akupe details zake zaidi au vipi?
Hivi form za kuombea U-Babu zinapatikana wapi?
Babu habari za asubuhi mpwa wako sijambo mzima kabisa niko kwenye mihangahiko ya kununua mbegu za mahindi kwa ajili ya msimu huu
Babu habari za asubuhi mpwa wako sijambo mzima kabisa niko kwenye mihangahiko ya kununua mbegu za mahindi kwa ajili ya msimu huu
Una uhakika na hili unalolisema? Na hata ingekuwa kweli kuna ubaya wowote?
Mambo yanaenda vizuri babu,babu mwenzako asprin hajambo mzima kabisa ila bado hajaacha mchezo wake wa kujilimbikizia wajukuu.Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, safi sana kajukuu....Hebu basi mueleze Babu.....Mambo yanakwendaje?
Usalama umekuwepo toka aondoke?
See u soon,
Babu DC.
Mkwe siku ile nilipokuja nyumbani nilikuhakikishia kuwa mwanao hatalala njaaNdo maana nakupenda mkwe wangu ...yaani hapa mwanangu halali njaa hata siku moja kijana unasoma sana nyakati
Husninyo mimi mzima ila umenitupa sawa tu.hakuna ubaya mababu.
Msalimie babu finest.
Hivi form za kuombea U-Babu zinapatikana wapi?