Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 631
- 592
Heri ya mwaka mpya!!!!
Ni matarajio yangu nyote mmevuka salama, Ndg zangu nataka kwenda Kampala Uganda 🇺🇬 kukaa siku 10.
Sasa basi naomba msaada wenu mnipe taarifa kuhusu gharama za nauli kwenda, malazi na sehemu nzuri za kufikia, masoko ya nguo za mitumba.
Nataka nisafiri kwa bus, je ni sahihi nichukue bus mpaka Bukoba, harafu niunganishe au nichukue bus la moja kwa moja la Dar to Kampala?
Naomba mawazo na ushauri wenu nifanikishe safari yangu.