Ipo ya kupitia karagwe-mulongo ila mbali sanaKuna njia za panya kufika Uganda au lazima upite mtukula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo ya kupitia karagwe-mulongo ila mbali sanaKuna njia za panya kufika Uganda au lazima upite mtukula
kama nauli ya dar to mwanzaPanda Bus ya classic ni moja kwa moja kutoka dar mpka kampala na ofisi ya Classic ipo karibu na soko la kisenyi Uganda naUli Tsh130000 tu
Mkuu uko Kampala hadi lini?Kabisa!


Kila la heriSafari yangu ya kwenda magharibi ya Tanzania natarajia kuianza mwisho wa mwezi huu. Maandalizi ya safari yako kwenye hatua za mwisho mwisho na natarajia kutua Mwanza asubuhi kwenye saa 12 na kuunganisha kwa basi hadi Musoma kisha nitapita Tarime hadi Sirari.
Nitavuka mpaka na huenda nikalala Kisumu ili kesho yake niende Busia ambapo natarajia kuvuka mpaka wa Kenya kuingia Uganda. Hesabu zangu zinanionyesha kuwa ni mwendo wa masaa kati ya 12-14 kutoka Mwanza hadi kuipata Kampala....Tuombeane kheri.![]()
🙏 🙏Kila la heri