Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 631
- 592
OKHeri ya mwaka mpya!!!!
Ni matarajio yangu nyote mmevuka salama, Ndg zangu nataka kwenda Kampala Uganda πΊπ¬ kukaa siku 10,
Sasa basi naomba msaada wenu mnipe taarifa kuhusu gharama za nauli kwenda, malazi na sehemu nzuri za kufikia, masoko ya nguo za mitumba. Nataka nisafiri kwa bus, je ni sahihi nichukue bus mpaka Bukoba, harafu niunganishe au nichukue bus la moja kwa moja la Dar to Kampala? Naomba mawazo na ushauri wenu nifanikishe safari yangu.
Kama ingelikuwa ni mimi, ningepanda gari hadi Bukoba na kwenda kulala Mutukula ili kesho yake nianze safari mapema sana Asubuhi. Huwa nikienda ugenini, hasa sehemu ambako siyo mwenyeji, napenda nifike mapema ili nipate muda wa kutembea kuservey kabla ya kufanya maamuzi ya pa kulala kwa siku hiyo.Heri ya mwaka mpya!!!!
Ni matarajio yangu nyote mmevuka salama, Ndg zangu nataka kwenda Kampala Uganda πΊπ¬ kukaa siku 10.
Sasa basi naomba msaada wenu mnipe taarifa kuhusu gharama za nauli kwenda, malazi na sehemu nzuri za kufikia, masoko ya nguo za mitumba.
Nataka nisafiri kwa bus, je ni sahihi nichukue bus mpaka Bukoba, harafu niunganishe au nichukue bus la moja kwa moja la Dar to Kampala?
Naomba mawazo na ushauri wenu nifanikishe safari yangu.
Umbali wa kutoka Mutukula hadi Kampala ni wastani wa masaa matano kwa gari, lakini kwa sababu ni gari la abiria, hasa magari mdogo kama hiace (taxi), huweza kuchukua zaidi ya masaa matano kwa sababu ya kusimama njiani kushusha au kupakia abiria. Lakini ukiondoka Mutukula saa moja Asubuhi, una uhakika wa kufika Kampala kabla ya saa tisa alasiri, muda ambao bado ni rafiki kwa mgeni kufika ugenini.Heri ya mwaka mpya!!!!
Ni matarajio yangu nyote mmevuka salama, Ndg zangu nataka kwenda Kampala Uganda πΊπ¬ kukaa siku 10.
Sasa basi naomba msaada wenu mnipe taarifa kuhusu gharama za nauli kwenda, malazi na sehemu nzuri za kufikia, masoko ya nguo za mitumba.
Nataka nisafiri kwa bus, je ni sahihi nichukue bus mpaka Bukoba, harafu niunganishe au nichukue bus la moja kwa moja la Dar to Kampala?
Naomba mawazo na ushauri wenu nifanikishe safari yangu.
Nauli ya kutoka Mutukula hadi Kampala ni shilingi za Kiganda arobaini elfu, lakini ukibargain unaweza kukubaliwa hata kwa shilingi elfu thelethini. Hata hivyo, inasemekana mwanzoni mwa mwaka kuna idadi kubwa ya watu wanaotaka Mutukula kwenda Kampala hivyo nauli huweza kupanda kuzidi ilivyozoeleka.Heri ya mwaka mpya!!!!
Ni matarajio yangu nyote mmevuka salama, Ndg zangu nataka kwenda Kampala Uganda πΊπ¬ kukaa siku 10.
Sasa basi naomba msaada wenu mnipe taarifa kuhusu gharama za nauli kwenda, malazi na sehemu nzuri za kufikia, masoko ya nguo za mitumba.
Nataka nisafiri kwa bus, je ni sahihi nichukue bus mpaka Bukoba, harafu niunganishe au nichukue bus la moja kwa moja la Dar to Kampala?
Naomba mawazo na ushauri wenu nifanikishe safari yangu.
Nafikiri, kwa upande wa soko, OWINO MARKET ndiyo Kariakoo ya Kampala. Wajuzi wataongezea, ila mpaka sasa sijui kama kuna soko linaloipiku OWINO jijini Kampala.Heri ya mwaka mpya!!!!
Ni matarajio yangu nyote mmevuka salama, Ndg zangu nataka kwenda Kampala Uganda πΊπ¬ kukaa siku 10.
Sasa basi naomba msaada wenu mnipe taarifa kuhusu gharama za nauli kwenda, malazi na sehemu nzuri za kufikia, masoko ya nguo za mitumba.
Nataka nisafiri kwa bus, je ni sahihi nichukue bus mpaka Bukoba, harafu niunganishe au nichukue bus la moja kwa moja la Dar to Kampala?
Naomba mawazo na ushauri wenu nifanikishe safari yangu.
Kumbe upo Kampala? Vipi kuhusu gharama za malazi zikoje?Umbali wa kutoka Mutukula hadi Kampala ni wastani wa masaa matano kwa gari, lakini kwa sababu ni gari la abiria, hasa magari mdogo kama hiace (taxi), huweza kuchukua zaidi ya masaa matano kwa sababu ya kusimama njiani kushusha au kupakia abiria. Lakini ukiondoka Mutukula saa moja Asubuhi, una uhakika wa kufika Kampala kabla ya saa tisa alasiri, muda ambao bado ni rafiki kwa mgeni kufika ugenini.
Inategemeana unataka kulala mahali pa hadhi gani. Bei ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania. Ukiwa na Ugx 25,000 ambayo ni kama sh 15,000 za Kitanzania, unapata lodge nzuri tu, tena self, na kadiri bei inavyopanda ndivyo na ubora unavyoongezeka. Bajeti yako anzia Ugx 20,000 kwa vyumba vya kawaida (self) nje kidogo ya city centre hadi Ugx 35,000. Ukiwa na Ugx 60,000 au hata 50,000 una uhakika wa kulala hotelini.Kumbe upo Kampala? Vipi kuhusu gharama za malazi zikoje?
Nilienda kwenye ofisi ya bus la Friends linalofanya safari ya kuja huko wao nauli ya kutoka Dar hadi Kampala ni Tzs. 140,000, nami najikusanya kabla ya February 10 niwe huko vipi kuhusu hali ya hewa ikoje? Dar ni joto hasaNauli ya kutoka Mutukula hadi Kampala ni shilingi za Kiganda arobaini elfu, lakini ukibargain unaweza kukubaliwa hata kwa shilingi elfu thelethini. Hata hivyo, inasemekana mwanzoni mwa mwaka kuna idadi kubwa ya watu wanaotaka Mutukula kwenda Kampala hivyo nauli huweza kupanda kuzidi ilivyozoeleka.
Budget yangu ya malazi ni Ugx 20,000 hadi 40,000 kwa city centre je naweza kupata?Inategemeana unataka kulala mahali pa hadhi gani. Bei ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania. Ukiwa na Ugx 25,000 ambayo ni kama sh 15,000 za Kitanzania, unapata lodge nzuri tu, tena self, na kadiri bei inavyopanda ndivyo na ubora unavyoongezeka. Bajeti yako anzia Ugx 20,000 kwa vyumba vya kawaida (self) nje kidogo ya city centre hadi Ugx 35,000. Ukiwa na Ugx 60,000 au hata 50,000 una uhakika wa kulala hotelini.
Kuna gesti wana mpaka vyumba vya kawaida visivyo na vyoo ndani, bei ni Ugx 13,000 lakini sikushauri ukae kwenye hivyo.
Heri ya mwaka mpya!!!!
Ni matarajio yangu nyote mmevuka salama, Ndg zangu nataka kwenda Kampala Uganda πΊπ¬ kukaa siku 10.
Sasa basi naomba msaada wenu mnipe taarifa kuhusu gharama za nauli kwenda, malazi na sehemu nzuri za kusoma, masoko ya nguo za mitumba.
Nataka nisafiri kwa bus, je ni sahihi nichukue bus mpaka Bukoba, harafu niunganishe au nichukue basi la moja kwa moja la Dar to Kampala?
Naomba mawazo na ushauri wenu nifanikishe safa
Ndio unapata fresh kabisaBudget yangu ya malazi ni Ugx 20,000 hadi 40,000 kwa city centre je naweza kupata?
Kuna kaubaridi kazuri. Hali ya hewa inataka kuendana kidogo na ya Arusha au Mwanza.Nilienda kwenye ofisi ya bus la Friends linalofanya safari ya kuja huko wao nauli ya kutoka Dar hadi Kampala ni Tzs. 140,000, nami najikusanya kabla ya February 10 niwe huko vipi kuhusu hali ya hewa ikoje? Dar ni joto hasa
Kabisa!Budget yangu ya malazi ni Ugx 20,000 hadi 40,000 kwa city centre je naweza kupata?