Safari ya Dar es Salaam

Safari ya Dar es Salaam

Umenikumbusha story nilizowahi kusikia za Kariakoo Dar. Unaonyeshwa raba mtoni moja kali sana lakini ya mguu mmoja. Ukiamua kununua wanakufungia pembeni na kuhakikisha huoni na kukuonya usifungue kwani ukikamatwa na polisi utanyang’anywa. Ukifika home fungua viatu vyako ili ujinome ndiyo unakutana na bomu la uchafu uliofungiwa.
Mkuu nilishanunua ndizi mbivu Kariakoo imefungwa unaambiwa ni clear tone
 
hahaaaa manina

Hehehehehehehee umeipata taswira eehhh aahahahahahahaaa

Acha tuu, mwanaume ambaye Nimezoea na nae na huwa tunataniana bila mipaka.... aaaahh huwa napenda sana kuchezea makende yake eehehehehehehehehheheheeeee yaani niyaguse guse niyaminye minye uchokozi tuu aahahahahhahaa halafu Mnara ukianza kwenda wima mie mbiooooo aahahahahahahaa

With my lens glass on Roger Sterling
 
hapo natoa dedication ya nyimbo alivyokua anatoka kwenye choo na shati lake........they see me rollin they hatin.....chamilione -ridin dirty
 
Hehehehehehehee umeipata taswira eehhh aahahahahahahaaa

Acha tuu, mwanaume ambaye Nimezoea na nae na huwa tunataniana bila mipaka.... aaaahh huwa napenda sana kuchezea makende yake eehehehehehehehehheheheeeee yaani niyaguse guse niyaminye minye uchokozi tuu aahahahahhahaa halafu Mnara ukianza kwenda wima mie mbiooooo aahahahahahahaa

With my lens glass on Roger Sterling

130726-stern-slattery-tease_hkzayh.jpg
 
Hahaa..!!! Kama namwona vile..!! Akii mi ningeruka kwenye train
 
Kuna bwana mmoja alikuwa na shauku ya kufika Dar. Katika umri wa miaka 30+ hajawahi kuliona jiji la Bashite.

Aliuza mazao yake na akiba aliyokuwa nayo na kukata ticket ya train. Akiwa njiani aliona nguo alizovaa hazistahili kuingia mjini.

Train ilisimama kituoni abiria washuke na kupanda. Jamaa aliwahi dukani kununua suruali, shati, boxer na t-shirt. Alilipa pesa na kufungiwa nguo kwenye Rambo.

Aliingia choo cha train na kuvua nguo zake na kuzitupa dirishani train ikiwa kwenye mwendo.

Alifungua Rambo na kukuta amefungiwa mashati manne tu.

Unafikiria alifanya nini?
Bila shaka ni BASHITE mwenyewe zama zake za kuja mjini,/dsm akitokea KOLOMIJE.
 
Back
Top Bottom